Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Paul Makonda

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,333
9,755
Ndugu zangu Watanzania,

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwamba na Jabali wa siasa za ardhini na kijana jasiri kusini mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda. Ambapo katika siku kama ya leo tarehe 15-2-1982 ndipo alipozaliwa katika ardhi ya Tanzania.

Mheshimiwa Makonda ambaye kwa sasa anatambulika kama mtetezi na sauti ya wanyonge amejizolea umaarufu mkubwa sana hapa nchini, kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge, lakini kubwa zaidi ni namna alivyo jaa ujasiri na uzalendo mkubwa sana katika kifua chake katika mambo anayoyaamini hasa katika kuwatetea wananchi wanyonge wasio na sauti na wanaohitaji msaada wa kusemewa.

Ni kiongozi ambaye kwa sasa ameteka mioyo ya watanzania, amegusa hisia za mamilioni ya Watanzania, amepokelewa na watanzania kwa mikono miwili na kumpatia kila aina ya ushirikiano.

Mungu aendelee kumjalia maisha marefu na yenye furaha na amani tele kiongozi wetu huyu ambaye amekuwa kama nuru kwa watanzania. Tuendelee kumuombea maisha marefu na afya njema ili aendelee kumsaidia Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan katika kukisemea na kukitetea chama pamoja na kuibua mambo mbalimbali katika ziara zake ambazo amekuwa akifanya maeneo mbalimbali hapa nchini.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

IMG-20240206-WA0027.jpg
IMG-20240202-WA0004.jpg
IMG-20240114-WA0016.jpg
 
View attachment 2904870View attachment 2904871View attachment 2904872
Vipi ameshakuwowa tayari? Vipi mama Keagan amekupokeaje?
 
Back
Top Bottom