CHADEMA walalamika kutopewa nafasi ya kuzungumza msibani kwa Lowassa, Karimjee!

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema CCM haikuwatendea Haki kwa kutompa Katibu mkuu mh Mnyika nafasi ya kuongea ilhali alikuwepo msibani akikiwakilisha Chama

Lema amesema hakuna asiyejua kwamba hayati Lowasa alikuwa Mgombea wa uRais wa JMT kwa ticket ya Chadema
Wamechelewa wangemuuomba msamaha Lowassa akiwa bado hai
1707833615568.png
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema CCM haikuwatendea Haki kwa kutompa Katibu mkuu mh Mnyika nafasi ya kuongea ilhali alikuwepo msibani akikiwakilisha Chama

Lema amesema hakuna asiyejua kwamba hayati Lowasa alikuwa Mgombea wa uRais wa JMT kwa ticket ya Chadema
Tofautisha fact na malalamiko jo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema CCM haikuwatendea Haki kwa kutompa Katibu mkuu mh Mnyika nafasi ya kuongea ilhali alikuwepo msibani akikiwakilisha Chama

Lema amesema hakuna asiyejua kwamba hayati Lowasa alikuwa Mgombea wa uRais wa JMT kwa ticket ya Chadema
Watu wa aina ya Lema kwenye jamii wanaitwa:LAANA
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema CCM haikuwatendea Haki kwa kutompa Katibu mkuu mh Mnyika nafasi ya kuongea ilhali alikuwepo msibani akikiwakilisha Chama

Lema amesema hakuna asiyejua kwamba hayati Lowasa alikuwa Mgombea wa Urais wa JMT kwa ticket ya Chadema
Mnyika aongee nini wakati ccm ndio wanataka show yote. Mnyika angeharibu tu sherehe kwa kauli zilezile za kulalama.
 
Hata mimi nimeshangaa kwanini hawajapewa nafasi? Sio sawa. Hata kama shughuli ni ya kiserikali nafikiri wangeheshimu kwamba marehemu amewahi kugombea Urais kupitia chama hicho.
 
Back
Top Bottom