Rita Mlaki: Lowassa alinifundisha mambo matatu muhimu. Mosi Niwe Mvumilivu, Nisiropokeropoke hadharani na Niwe Mkali inapobidi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,997
142,018
Aliyekuwa Waziri wa Viwanda, Rita Mlaki amesema family yake na family ya Edward ni Marafiki tangu wao wakiwa Wadogo hivyo wamecheza na kukua pamoja

Rita amesema wameendelea Kuwa pamoja Serikalini na Kanisani Azania Front na Dodoma Cathedral

Amesema katika Utumishi wa Umma Lowasa alimuhimiza mambo matatu muhimu Mosi awe Mvumilivu, pili asiwe anaropokaropoka hadharani Kwani Neno likishatoka Mdomoni huwezi kulirudisha na Tatu awe Mkali pale inapobidi

Source: Upendo TV
 
Aisee Lowassa katuliza wengi sana sana

Kweli Julius Nyerere alikuwa ana maono ya mbali sana sana kufanya uamuzi mgumu 1995

Imagine Lowassa Edward angekuwa Rais 1995-2005 then angeingia JK 2005-2015

Ukionekana mroho sana wa Urais lazima unyimwe

1) Seif Sharif Hamad kanyimwa mara 6
2) Gharib Bilal kanyimwa mara 2
3) John Malecela kanyimwa mara mbili
4)Edward Lowassa kanyimwa mara 2

Ukimtoa JK hakuna Mtu aliupigania Urais kufa kupona akapata

2030 pia Inshallah itakuwa suprise hakuna kupewa mnyoa nywele zote wala mvaa Skafu wala mnyoa bishoo mstaafu wa masupa black
 
Hivi bado ni mrembo?
 
Mwenyeheri Julius Nyerere
 
..Na mtoto wa nje wa Kagame naye asipewe.
 
Back
Top Bottom