Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Inashangaza mwekezaji Kilombero Sugar kugeuka kuwa mwagizaji,ameshindwa uzalishaji halafu anaagiza halafu ndo aanze kusupply yeye.
Kweli Tanzania tunahitaji wawekezaji wa aina hiyo kama siyo dili ya wachache ni nini? Bei inapanda kwa sababu mwekezaji hana mzigo huku sheria ikimlinda wengine wasiagize nje.
Mbona vitu vingine haihitaji akili kubwa, kama sukari hamna matajiri waruhusiwe wafanye biashara walete toka nje kuwe na soko huria ,huyo mwekezaji uchwara atajua mwenyewe au aache uzalishaji au ashindane na wengine sokoni.
Sasa mnampa uwanja mpana mwekezaji kucheza michezo yake sukari hamna na bei iko juu anafaida gani huyo mwekezaji wakati anayeumia ni mlaji.