Kusini: Viongozi Wastaafu na waliopo madarakani wanahujumu zao la korosho

Matulanya Mputa

Senior Member
Aug 14, 2023
105
203
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,

Mikoa ya Kusini ni mikoa ambayo inalima sana korosho, hasa mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma hasa wilaya ya Tunduru.

Lakini leo zao la korosho kwao limekuwa mwiba mchungu hasa kwa wakulima hawa,80% ya mikoa hiyo ni wakulima hasa wa korosho na ndiyo uchumi wao wanategemea.

Wananchi wa maeneo haya,malalamiko yao wengi wanalalamika kuhujumiwa na viongozi waandamizi wa serikali, miongoni mwa viongozi hao ni:
(I)VIONGOZI WASTAFU TOKA NDANI YA MKOA WA MTWARA NA LINDI.

(II)VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI NA BAADHI YA VIONGOZI WA UPINZANI

(III)VIONGOZI WA BODI YA KOROSHO AMBAO WANAFUATA MAELEKEZO KUTOKA KWA MAKUNDI TAJWA HAPO JUU
Pia kuna kundi ambalo lina mshauri raisi Samia kuhusu zao la korosho, na kumdanganya kuhusu biashara ya zao ilo.

Kwahyo kwakua mikoa hii,haina wabunge wa kutetea zao la korosho na wameamua kuungana na madalali kuhujumu zao la korosho sasa wananchi wanawasubiri kwenye sanduku la kura japo mtatumia nguvu lakini haki itapatikana ata ikichelewa.
KAULI MBIU YA WANA KUSINI,:KATAA MADALALI WA KOROSHO KWA MASILAHI YA KUSINI.
 
Dawa ni kuacha kujishugulisha na zao hilo bora mkose wote

Ova
 
  • Thanks
Reactions: K11

Watupieni majini kama yale yanayomshughulikia Mayele.

Pia watu waache kulima korosho walime mahindi, mihogo, maharagwe na mazao mengine ya chakula.
 
Kuna miaka ya nyuma wakulima wa Pamba walisusa kulima zao hilo baada ya kuona wanahujumiwa, pia wakulima wa kahawa wengi wao kuna mwaka walikata miti wakapanda ndizi kwenye mashamba yao maisha yakaendelea.

Hii inaitwa win win situation.
 
Upo sahihi kabisa, wazani kwanini mwaka jana wakasema uzarishaji umeshuka uzarishaji, haujashuka, ila watu wanauza korosho kwa kangomba sahivi kupeleka garani hawataki
 
Anayenunua kwa Kangomba yeye anazipeleka wapi. Mwisho wa siku na yeye anapeleka ghalani hivyo bado takwimu zitabaki pale pale kuwa uzalishaji ulishuka.
 
Nchi Ngumu Sana hii yani viongozi hawapendi kuona wananch wake wananufaika kwa Hali ya yoyote Ile ,kwa ufupi hili zao linashuluba sana mpaka kuvuna yani bei mkulima amekosa anapaswa kuuza kuanzia 3000/=
 
Anayenunua kwa Kangomba yeye anazipeleka wapi. Mwisho wa siku na yeye anapeleka ghalani hivyo bado takwimu zitabaki pale pale kuwa uzalishaji ulishuka.
Hapana wengi wao hawapeleki guarani,wanapeleka kwenye viwanda vya kubangua na kwajili ya matumizi ya ndani,manake zile za kwenye maghara nyingi zinakuwa chini ya vyama vya ushirika AMCoS ,na pia kuna wengine wanazo mpaka sasa wanauza kwa wale wachuuzi wa kuhoka ambao sasa wanapita nunua
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,

Mikoa ya Kusini ni mikoa ambayo inalima sana korosho, hasa mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma hasa wilaya ya Tunduru.

Lakini leo zao la korosho kwao limekuwa mwiba mchungu hasa kwa wakulima hawa,80% ya mikoa hiyo ni wakulima hasa wa korosho na ndiyo uchumi wao wanategemea.

Wananchi wa maeneo haya,malalamiko yao wengi wanalalamika kuhujumiwa na viongozi waandamizi wa serikali, miongoni mwa viongozi hao ni:
(I)VIONGOZI WASTAFU TOKA NDANI YA MKOA WA MTWARA NA LINDI.

(II)VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI NA BAADHI YA VIONGOZI WA UPINZANI

(III)VIONGOZI WA BODI YA KOROSHO AMBAO WANAFUATA MAELEKEZO KUTOKA KWA MAKUNDI TAJWA HAPO JUU
Pia kuna kundi ambalo lina mshauri raisi Samia kuhusu zao la korosho, na kumdanganya kuhusu biashara ya zao ilo.

Kwahyo kwakua mikoa hii,haina wabunge wa kutetea zao la korosho na wameamua kuungana na madalali kuhujumu zao la korosho sasa wananchi wanawasubiri kwenye sanduku la kura japo mtatumia nguvu lakini haki itapatikana ata ikichelewa.
KAULI MBIU YA WANA KUSINI,:KATAA MADALALI WA KOROSHO KWA MASILAHI YA KUSINI.
Niliwaambia mnichague mimi mkawa mnanikataa pambaneni na shida zenu shida mlizonazo ni ukosefu wa elimu.

Sent from my SM-A146P using JamiiForums mobile app
 
Hao watu wa kusini si mabingwa wa ulozi, Wana ngoja nini kuwa loga hao wahujumu?
 
..kwakua mikoa hii,haina wabunge wa kutetea zao la korosho na wameamua kuungana na madalali kuhujumu zao la korosho sasa wananchi wanawasubiri kwenye sanduku la kura japo mtatumia nguvu lakini haki itapatikana ata ikichelewa..
Labda kuwe na mabadiliko ya kweli ila kwa Tume ya uchaguzi ya sasa sanduku la kura halina tija.
Mtachagua mnayemtaka halafu wao watatangaza "mshindi" wao wanayemtaka
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,

Mikoa ya Kusini ni mikoa ambayo inalima sana korosho, hasa mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma hasa wilaya ya Tunduru.

Lakini leo zao la korosho kwao limekuwa mwiba mchungu hasa kwa wakulima hawa,80% ya mikoa hiyo ni wakulima hasa wa korosho na ndiyo uchumi wao wanategemea.

Wananchi wa maeneo haya,malalamiko yao wengi wanalalamika kuhujumiwa na viongozi waandamizi wa serikali, miongoni mwa viongozi hao ni:
(I)VIONGOZI WASTAFU TOKA NDANI YA MKOA WA MTWARA NA LINDI.

(II)VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI NA BAADHI YA VIONGOZI WA UPINZANI

(III)VIONGOZI WA BODI YA KOROSHO AMBAO WANAFUATA MAELEKEZO KUTOKA KWA MAKUNDI TAJWA HAPO JUU
Pia kuna kundi ambalo lina mshauri raisi Samia kuhusu zao la korosho, na kumdanganya kuhusu biashara ya zao ilo.

Kwahyo kwakua mikoa hii,haina wabunge wa kutetea zao la korosho na wameamua kuungana na madalali kuhujumu zao la korosho sasa wananchi wanawasubiri kwenye sanduku la kura japo mtatumia nguvu lakini haki itapatikana ata ikichelewa.
KAULI MBIU YA WANA KUSINI,:KATAA MADALALI WA KOROSHO KWA MASILAHI YA KUSINI.
Na badooo!! tena hakuna sehemu ya nchi hii kuna watu ambao hawajitambui kama huko!!
 
Upo sahihi kabisa, wazani kwanini mwaka jana wakasema uzarishaji umeshuka uzarishaji, haujashuka, ila watu wanauza korosho kwa kangomba sahivi kupeleka garani hawataki
Mwaka jana nilihudhuria mkutano wa mama pale Newala kipindi hicho niko huko, wakulima waliahidiwa neema tele kwenye zao la korosho lakini kilichotokea ni tozo kuongezeka na bei kushuka zaidi.

Zao la korosho lina bodi nyingi, watafiti, tozo na kamati na walaji wengi kuliko mazao yote hapa nchini ambao wote wapo kumnyonya mkulima.

Wakulima siku wakisusa kulima korosho, ndipo bei ya korosho itapanda.

Karibu tulime mpunga huku Katavi maana bei tunapanga wenyewe.
 
Back
Top Bottom