Hivi ni Kweli Watu wananunua Sukari kwa kupanga foleni kama 1981?

Nimeona picha Kwenye magazeti na huko X kwamba Mwanza Wananchi wanapanga foleni kununua sukari

Hii ni kweli au ni propaganda za maandamano ya Chadema?

Mfungapo Msiwe kama Wanafiki😃
Kabla sijafika hapa Mwanza nilitua pale Iringa Ipogolo kwa Mwagongo kustua moyo na mkangafu.Hakika nilijionea akina mama wakiwa foleni wakinunua sukari na bagia.
 
Mwanza ya wapi labda huko daslama....hao ni CHADEMA wanajaribu KUMAnipulate watu wakaandamane......sukari imepanda bei Ila haijaadimika.
Pia Kwa kujiongeza Tu kwani Duka ni moja mwanza Hadi watu wapange foleni? Strategy za kizamani Sana.
 
Back
Top Bottom