Tunaposema uchumi unakua kwa kasi lazima tuelewane Chini ya Rais Samia NMB wameshusha gharama za kufungua akaunti kutoka TZS 10,000 hadi TZS 1,000

Tajiri la Bitcoin

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
1,087
643
Leo nimefanikiwa kukutana na Page ya NMB PLC kule Facebook,

NMB Sasa wameamua kufungua akaunti kwa TZS 1,000 tena bila makato ya mwezi hii ni dalili ya uchumi wa nchi kukua kwa kasi nakuzifanya Benki zinyang'anyane wateja,

Nashauri waangalie eneo la riba za Mikopo pia ishuke ili kuvutia wakopaji wengi zaidi,

Viva Samia, Viva Tanzania,

=====
Soma ujumbe wao hapa chini,

""Ushawahi kuskia Akaunti inayofunguliwa kwa Buku na isiyo na makato ya mwezi?

Kama bado, basi sogea “Mbagala Zakhiem” kwenye mtoko wa NMB Pesa Day tukupe habari zake huku ukishuhudia burudani kibao kutoka kwa wasanii wakubwa Tanzania!

Zawadi za kutosha zitatolewa kwa watakaojisajili na #NMBPesa ikiwemo Bodaboda, majiko ya gesi, pesa taslim na surprise nyingine kibao.

NB: Hakikisha unakuja na kitambulisho uwanjani uweze kufunguliwa akaunti ya #NMBPesa kwa buku tu"

#NMBKaribuYako #HaachwiMtu
 
Ninachojua hapo kabla Bibi yangu kijijini alikuwa na Benki Mkononi mambo ya kupata pesa elfu kadhaa kutumiana na Mabibi wenzake ilikuwa sekunde tu...

Upuuzi uliofanyika sasa hivi karudi kwenye kibubu na miamala imepungua maradufu....

In short kwenye suala la financial inclusion Awamu hii wameturudisha enzi za zama za mawe
 
Ukiwa CHAWA au muumini wa CCM, ni laana kwa ukoo na kizazi chenu.

Ukiwa na nyanya zako, ukawa unauza sh 50,000 kwa crate, kila wiki unauza crate 50.
  • Ukaanza kuuza crate 30 kwa wiki
  • Ikafika muda ukawa unauza crate moja kwa mwezi
  • Ukapunguza bei, mpaka sh 10,000 kwa crate, bado ukawa unauza crate 1 kwa mwezi
  • Ukaamua kugawa bure kwakuwa zitakuozea, ukajikuta umegawa crate 80 kwa siku.

Kwa akili za kichawa, uchumi umekuwa hapo! Kwa akili za CCM, tumewafikia wengi mpaka vijijini!

Hali halisi;
  • Umasikini umeshika hatamu
  • Nguvu ya manunuzi kwa mtu mmoja mmoja imepungua mara dufu
  • Maisha yamekuwa ghali sana na thamani ya pesa imeshuka kweli kweli.

Ufungue akaunt kwa sh 1,000 kisha unaweka nini kwenye akaunti?
- Tafuta akaunti za watumishi, baada ya mshahara kuingia, siku 10 mbele, kachungulie kuna nini!

UJINGA
UMASIKINI
MARADHI
 
Mkuu nadhani kuna kitu hujui kwenye uchumi,

Tunaposema kununua gari nje ni gharama ndogo tunamaanisha nini?

Kwamba Tanzania Ina uchumi mkubwa kuliko nchi za huko nje?

Au nje wanauchumi mzuri ndio maana Bei zao ni ndogo kwasababu ya competition?
 
Sahihi kabisa CHADEMA ni mazezeta
 
Leo nimefanikiwa kukutana na Page ya NMB PLC kule Facebook,

NMB Sasa wameamua kufungua akaunti kwa TZS 1,000 tena bila makato ya mwezi hii ni dalili ya uchumi wa nchi kukua kwa kasi nakuzifanya Benki zinyang'anyane wateja,

Viva Samia, Viva Tanzania,

=====
Soma ujumbe wao hapa chini,

""Ushawahi kuskia Akaunti inayofunguliwa kwa Buku na isiyo na makato ya mwezi?

Kama bado, basi sogea “Mbagala Zakhiem” kwenye mtoko wa NMB Pesa Day tukupe habari zake huku ukishuhudia burudani kibao kutoka kwa wasanii wakubwa Tanzania!

Zawadi za kutosha zitatolewa kwa watakaojisajili na #NMBPesa ikiwemo Bodaboda, majiko ya gesi, pesa taslim na surprise nyingine kibao.

NB: Hakikisha unakuja na kitambulisho uwanjani uweze kufunguliwa akaunti ya #NMBPesa kwa buku tu"

#NMBKaribuYako #HaachwiMtu
Na hata faida wanazopiga haijawahi tokea kabla 👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1752603350133051419?t=Fpds5Atjb9T5xawkpyD9ew&s=19
 
Back
Top Bottom