johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,013
- 142,047
Ingependeza Zaidi kama wabunge wote wangemuaga aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Serikali Bungeni hayati Lowasa Kwenye Viwanja vya Bunge kama walivyomtendea Shujaa Magufuli
Kamati ya Maridhiano litazameni na Hili msiwabane Chadema Peke yao
Mfungapo Kwaresma Msiwe kama Wanafiki 😃
Kamati ya Maridhiano litazameni na Hili msiwabane Chadema Peke yao
Mfungapo Kwaresma Msiwe kama Wanafiki 😃