Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa. Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI...
11 Reactions
67 Replies
7K Views
Askofu Dr Malasusa amesema katika ushuhuda mwingi wa Edward Lowasa ni pamoja na kuwa ni Mtu wa Ibada " Wengi hawajui Kuwa mama Regina Lowassa ni Mkatoliki kweli kweli hata jana Padre amenipigia...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu...
10 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa. ✍️ Mjanja M1
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Jaribu kupitia vyanzo vya umeme wa tanesco kama ilivyoambatanishwa na andiko hili ili kujua panapovuja ni wapi. Vyanzo vikuu ni kutokana na maji na gesi lakini gesi ndiyo inayoongoza. Vituo vya...
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Inashangaza kidogo ila ndio ukweli.Mwaka 2015 wakati wa Uchaguzi mkuu Hayati Edward Lowassa aligombea urais kwa Tiketi ya Upinzani. Ili kuhakikisha Wapinzani hawarushiani Matokeo na kuyajumlisha...
9 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam Tozo za miamala ya simu ni jambo lililoanzishwa na kuzua tafrani miongoni mwa Wananchi wa Tanzania. Raia wengi walizipinga lakini viongozi wengi wa Chama Tawala walitetea na kuziita ni...
5 Reactions
10 Replies
909 Views
China na Tanzania zimetia Saini mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 25 wa kujenga miundombinu ya Uhifadhi kwenye Hifadhi ya mamlaka ya Ngorongo ikiwemo Ngorongoro-Lengai Geopark. Miongoni...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Huu hapa ni Mkutano wake wa leo wa kuwaanda wananchi wa Tunduma kwa ajili ya Maandamano Matukufu yatakayofanyika Mbeya
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika maandamano yaliyofanyika Mwanza, Februari 16, 2024, Freeman Mbowe amesema "Tuna uwezo wa kufanya maandamano ya amani, lakini vilevile tuna uwezo wa kufanya maandamano ya shari. Nawaambia...
8 Reactions
74 Replies
6K Views
Hii ndio Taarifa Mpya iliyotufikia usiku huu, kwamba Maelfu ya Wananchi wanamiminika kwenye ofisi zote chadema za Jiji hilo kwa lengo la kukesha ili kuwahi kujiandikisha, ili washiriki...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari...
8 Reactions
56 Replies
5K Views
Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini...
8 Reactions
67 Replies
5K Views
Siyo kwamba nampinga au namkubalia Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu bali kauli yake inatafakarisha sana Tundu Lisu anadai kwenye Bunge Maalumu la Katiba kuna Watu waliandaliwa...
0 Reactions
15 Replies
872 Views
"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama...
13 Reactions
88 Replies
9K Views
Kumekucha Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amesema Chadema haijapewa Ruzuku na CCM bali imepewa na serikali ikiwa ni halali yao kwa mujibu wa Katiba Lissu anasema wakati wa...
10 Reactions
60 Replies
5K Views
Kumekuwa na tabia za hivi karibuni, kwamba ili upate nafasi za kazi kwa vyombo vya ulinzi na usalama, mojawapo ya sifa ya waombaji ni kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa. Huu ni ubaguzi wa...
10 Reactions
45 Replies
8K Views
Habari Wadau, Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa Soma...
9 Reactions
87 Replies
6K Views
Wengi wanasema Lowassa alisalitiwa na rafiki yake. Alikipigania Chama kikamtosa. Alikubali kuumia sababu ya Chama. Tofauti ya Kikwete na Magufuli. Kikwete alikuwa anakuchukia huku anacheka nawe...
18 Reactions
71 Replies
7K Views
Baada ya miaka 60+ Tumefeli kabisa kwenye swala la umeme. Ukija kwenye maji mfano kwa Dar es Salaam kuna maeneo wana week ya pili maji hayatoki despite kulikua na mvua za vuli dawasco nao...
21 Reactions
104 Replies
4K Views
Back
Top Bottom