Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kupokea ndege mpya shughuli Kusaini mikataba ya bomba la mafuta, shughuli Kupokea pesa za kishika uchumba makinikia shughuli Kupokea gawio kutoka mashirika ya umma shughuli Kuzindua minara...
1 Reactions
0 Replies
272 Views
Tanganyika will never die! Ina watetezi uraiani na kwingineko! Msikie huyu Mbunge alivyochachamaa kuitetea.
2 Reactions
6 Replies
666 Views
TANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Mh. Rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan barabara tajwa hapo juu ni muhimu sana. Imarisha bandari ya Tanga, mikoa ya kanda za Kaskazini, kanda ya ziwa na nchi jirani za Burundi Rwanda na Uganda...
1 Reactions
4 Replies
945 Views
Alikua Tanzania one Form four na Form six Ni zao la Ilboru sekondari Mwaka 2004 alifanya Mahojino na Gazeti moja la Arusha alipotangazwa kuwa Tanzania one...
3 Reactions
47 Replies
15K Views
Kama Azam anaweza kuuza energy Mtwara kwa bei sawa na Dsm, TBL anauza bia Bukoba kwa bei kama Dsm, Mwananchi anauza gazeti Mbeya kwa bei sawa na Dsm, EWURA wanashindwa nini kuwa na bei moja ya...
1 Reactions
4 Replies
545 Views
Baada ya Chama Kikuu kabisa cha siasa nchini Tanzania, CHADEMA, kutangaza tarehe ya Maandamano, huku Wananchi kwa Mamilioni wakionyesha kuunga Mkono na kutangaza kushiriki, Kumeibuka kikundi cha...
16 Reactions
70 Replies
5K Views
Tunavyozidi kuendelea na maisha ya kila siku, hatuwezi kuacha kufikirisha bongo zetu. Ziara ya Paul Kagame imenifanya nifikirie sana. Kwanini iwe ziara ya ghafla hivyo? Katika mawazo yangu...
17 Reactions
160 Replies
12K Views
Kwa Kizungu, nchi ni COUNTRY na Taifa ni NATION. TAFSIRI: COUNTRY - a nation with its own government, occupying a particular territory. NATION - a large body of people united by common descent...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Havana, Cuba Cumbre de Jefes de Estado y de Gobierno del Grupo de los 77 y China tarehe 14 September 2023 Mwandishi Na Pedro Rioseco https://m.youtube.com/watch?v=Lhxm7jatf5U Mh. Rais Dr...
5 Reactions
56 Replies
4K Views
Au labda "hofu" is too strong a word? Kwa sababu huu ndio Mkoa ambao mgombea wa CCM (Kikwete) alishambuliwa jukwaani na chizi. Huu ndio mkoa ambao TANU ilikuwa inaihitaji msaada wa Bomani kuingia...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Sisi binadamu ni viumbe wa hovyo kabisa, just imagine kipindi cha JPM wanasiasa na baadhi ya Wananchi walivyokuwa wanamtukana Magufuli lakini saizi hao hao ndio wanaolalamikia ugumu wa maisha na...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari. Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Kulingana na Ripoti iliyotolewa na NBS, kwa sensa ya 2022 Tanzania imefikia kiwango cha 83% cha kujua kusoma na kuandika miongoni mwa watu wazima yaani miaka 15 na kuendelea ikiwa ni ongezeko la...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye takwimu naomba anitakwimishe, toka miaka ya 60' utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere (R.i.p)wilaya gani au jimbo gani la uchaguzi haijabahatika kutoa Naibu au Waziri.
1 Reactions
8 Replies
758 Views
Mbunge wa Momba, Condester Michael Sichalwe amedai kuna changamoto ya maji safi katika Jimbo na kuwalaumu Wizara ya Afya Kwa kutoshughulikia Hali hiyo. Amedai maji wanayotumia Wanamomba...
0 Reactions
4 Replies
477 Views
Wote tumeshuhudia namna Paul Makonda amekuwa jasiri na Hodari kuhakikisha haki za wanyonge zinapatikana lakini kusimamia uwajibikaji kwa Viongozi na watumishi wa Umma kote anakopita. Kwa sasa...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
This video is Courtesy of SK Media Online TV. ===================================================== KWA UFUPI; 1. Paul Makonda ni Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ndani ya CCM. Yupo...
13 Reactions
87 Replies
4K Views
Nimejaribu kufuatilia kwa karibu sana ziara wa Mwenezi Paul Makonda, na kuangalia namna mikutano yake inayokuwa , nilichosikitika ni kwamba 1. Mifumo ya utoaji haki kwa nchi hii haiko sawa kabisa...
6 Reactions
9 Replies
849 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa salaam za mwaka mpya leo tarehe 31 Desemba, 2023. https://www.youtube.com/live/Twr-ddr0U9Y?si=iso-QsJ01OP-z4sz SUALA LA...
4 Reactions
95 Replies
13K Views
Back
Top Bottom