Waliomponda Magufuli ndio hao hao wanaolamika umeme kukatika

Izizimba

Senior Member
Jan 23, 2017
124
344
Sisi binadamu ni viumbe wa hovyo kabisa, just imagine kipindi cha JPM wanasiasa na baadhi ya Wananchi walivyokuwa wanamtukana Magufuli lakini saizi hao hao ndio wanaolalamikia ugumu wa maisha na kukatika umeme mara kwa mara.

Tulimkosea sana JPM hii dhambi itatutafuna milele.

Suluhisho ni kutubu.​
 
Umeme ni tatizo la kitaalamu, na linatatuliwa kitaalamu, sio kwamba huyo muuza furu, nchima na maziwa meno yake yaliongeza umeme katika gridi ya taifa.

Wakati wake hali ya mvua ilikuwa nzuri, mabwawa yakawa na umeme, kwa hiyo unataka kuniambia yeye aliamuru mvua zinyeshe
 
Kwahiyo sasahivi mvua hazinyeshi?
Enhe, chanzo cha upungufu wa sukari kulingana na Msomali wa BBT ni nini kama si mvua.
Kwahiyo mvua ya Tanzania inanyesha kwenye mashamba ya miwa huku kwenye vyanzo vya uzalishaji wa umeme kuna ukame?
 
Saizi mvua haipo? Ukitanguliza hisia kwenye kila jambo huwezi kuuona ukweli. Grid ya Taifa ni ileile mbona saizi unakatika. Binadamu tumejaa chuki, ubinafisi na roho mbaya tu.
 
Inanyesha huko kwenye mabwawa au huko kwenu Malampaka na Nyampulukano?
 
Kwahiyo sasahivi mvua hazinyeshi?
Enhe, chanzo cha upungufu wa sukari kulingana na Msomali wa BBT ni nini kama si mvua.
Kwahiyo mvua ya Tanzania inanyesha kwenye mashamba ya miwa huku kwenye vyanzo vya uzalishaji wa umeme kuna ukame?
Huu uzi ufungwe tu.
 
Sisi binadamu ni viumbe wa hovyo kabisa, just imagine kipindi cha JPM wanasiasa na baadhi ya Wananchi walivyokuwa wanamtukana Magufuli lakini saizi hao hao ndio wanaolalamikia ugumu wa maisha na kukatika umeme mara kwa mara.
Tulimkosea sana JPM hii dhambi itatutafuna milele.
Suluhisho ni kutubu.​
We ni mfu km Magu, msalimie huko mlipo, mwambie mama anaponya nchi aliyoiharibu.
 
Back
Top Bottom