Elections 2015 Moses Mwizarubi kumvaa Lema Arusha

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,250
Anapoteza pesa zake bure ningemshauri aende shule akajiendeleze na kujijenga kimaisha kabla hajaingia kwenye siasa.
 
Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
13,584
2,000
Mtoto wa Askofu Nabii & Mtume Mwizarubi baada ya Baba yake kuchota fedha za kutosha za wana kondoo kijana anataka kutoka kivingine haaa haaa.

Nakushauri bora ungechagua fani ya Baba yako pengine ungetoka kimaisha kuliko siasa za Arusha utaangukia pua bureeeeee.
 
Ryaro wa Ryaro

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
2,660
1,225
CCM Hawaangalii Shule ya Mtu bali ni Nani Mkubwa ana final say. Huyu sidhani Kama anawazidi Watia Nia ya Urais Walioshindwa Kuingia 5-bora Matokeo yake Kijana Wanaesema alicheat Form Four akapita.
 
Gwallo

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
2,656
2,000
Mtoto wa Askofu Nabii & Mtume Mwizarubi baada ya Baba yake kuchota fedha za kutosha za wana kondoo kijana anataka kutoka kivingine haaa haaa.

Nakushauri bora ungechagua fani ya Baba yako pengine ungetoka kimaisha kuliko siasa za Arusha utaangukia pua bureeeeee.
Mkuu mmmmmmhhhhhhhh!!!!!! kukaa kimya nako ni busara hapo kwenye red unawezakutoa ushahidi
 
Freeland

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
14,489
2,000
hahahhahha...mlokole kutoka CCM...Huyu nimepiga nae skuli

Hakuna kitu

Anaweza tu vitabu...alifaulu sana enzi hizo

Alafu yuko kwenye chama chakavu...ndio hovyooooooo

Akaeendelee kufundisha AIA
 
ben86

JF-Expert Member
Aug 31, 2009
264
250
hahahhahha...mlokole kutoka CCM...Huyu nimepiga nae skuli

Hakuna kitu

Anaweza tu vitabu...alifaulu sana enzi hizo

Alafu yuko kwenye chama chakavu...ndio hovyooooooo

Akaeendelee kufundisha AIA
Yupo BOT now
 
mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,238
2,000
Wangempa huyu mtoto walau kaenda shule. Lema sidhani hata darasa la tano kafika. Bongo lala, debe tupu haliishi kupiga kelele za maandamano ya viroba Bavicha
 
sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,058
2,000
Moses ni hazina kwa nchi yetu. Nataman angeomba kupitia cdm jimbo lolote isipokuwa arusha amuachie lema
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom