Mswada upelekwe bungeni TANESCO ibinafsishwe tu

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
TANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni mbovu kuliko na ya mwisho.

Kukiwa hamna mvua wanasema mabwawa yamekauka,,,kukiwa na mvua nayo matatizo mda wote wao hawana solution miaka nenda rudi, kila Rais anamaliza awamu yake TANESCO ni vile vile haijawahi kubadilika au kuleta unafuu, mawaziri wa nishati wabadilishwa lakini hamna mabadiliko.

Kama BANDARI ilibinafsishwa basi na TANESCO ifuate, hatuna cha kupoteza maana hawajawahi kutoa huduma ya kuaminika,ni ukweli usiopingika serikali imeshindwa kuboresha TANESCO ili umeme uwepo mda wote
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii haina haja ya kuibinafsisha kwa sasa, ikatwe tu kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.
 
TANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni mbovu kuliko na ya mwisho.

Kukiwa hamna mvua wanasema mabwawa yamekauka,,,kukiwa na mvua nayo matatizo mda wote wao hawana solution miaka nenda rudi, kila Rais anamaliza awamu yake TANESCO ni vile vile haijawahi kubadilika au kuleta unafuu, mawaziri wa nishati wabadilishwa lakini hamna mabadiliko.

Kama BANDARI ilibinafsishwa basi na TANESCO ifuate, hatuna cha kupoteza maana hawajawahi kutoa huduma ya kuaminika,ni ukweli usiopingika serikali imeshindwa kuboresha TANESCO ili umeme uwepo mda wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora tubinafsishe nchi nzima kama ndo akili zetu zinakuwa hivi daaah akili gani hzi.... nipen tanesco niiendeshe huyu analiyeanzisha uzi anaupungufu wa umeme mwilini .....yaan mvua zinanyesha na kuna mgao...mvua ikikata kuna ukame
 
ni bora tubinafsishe nchi nzima kama ndo akili zetu zinakuwa hivi daaah akili gani hzi.... nipen tanesco niiendeshe huyu analiyeanzisha uzi anaupungufu wa umeme mwilini .....yaan mvua zinanyesha na kuna mgao...mvua ikikata kuna ukame
Sasa we unaona kati ya bandari na TANESCO ipi ilifaa ibinafsishwe? Maana TANESCO ndo wameshindikana, unaleta uzalendo wakati unaona huduma mbovu na serikali imeshindwa miongo zaidi ya 5 hamna unafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa we unaona kati ya bandari na TANESCO ipi ilifaa ibinafsishwe? Maana TANESCO ndo wameshindikana, unaleta uzalendo wakati unaona huduma mbovu na serikali imeshindwa miongo zaidi ya 5 hamna unafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana tanesco inatugusa moja kwa moja kuliko bandari....au ni kwaasababu niliishia la3 c??
 
Mm nashauri TANESCO uzwe tu. Tangu saa 11 jioni hakuna umeme huku kwetu.

Biteko aondoke!
 
Mm nashauri TANESCO uzwe tu.
Afadhali hata iuzwe, au makampuni mengine yaruhusiwe yazalishe umeme kuwe na ushindani, si unaona kama mitandao ya simu wanavyoshindana kwa kutoa huduma kila mtu anaboresha apate soko,..TANESCO wamekaa wenyewe maana hamna mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni mbovu kuliko na ya mwisho.

Kukiwa hamna mvua wanasema mabwawa yamekauka,,,kukiwa na mvua nayo matatizo mda wote wao hawana solution miaka nenda rudi, kila Rais anamaliza awamu yake TANESCO ni vile vile haijawahi kubadilika au kuleta unafuu, mawaziri wa nishati wabadilishwa lakini hamna mabadiliko.

Kama BANDARI ilibinafsishwa basi na TANESCO ifuate, hatuna cha kupoteza maana hawajawahi kutoa huduma ya kuaminika,ni ukweli usiopingika serikali imeshindwa kuboresha TANESCO ili umeme uwepo mda wote
Hapana hapa cha kufanya ni kufukuza kila siku hadi tupate cream na tutimize malengo yetu na kwa wale waajiriwa tukihisi wala rushwa basi tuhakikishe hata wakienda mahakamani tukiwakuza tumpgie simu hakimu au judge tumbwage hakuna namna ya kupambana na mafisadi zaidi ya udikteta ukifuata sheria fisadi humuwezi, at some point magufuli aliwezaa
 
Waruhusu ushindani kutoka Kwa mashirika binafsi na watu wenye uwezo wa kuzalisha then wananchi wenyewe waamue kutumia umeme waa shirika gn
 
TANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni mbovu kuliko na ya mwisho.

Kukiwa hamna mvua wanasema mabwawa yamekauka,,,kukiwa na mvua nayo matatizo mda wote wao hawana solution miaka nenda rudi, kila Rais anamaliza awamu yake TANESCO ni vile vile haijawahi kubadilika au kuleta unafuu, mawaziri wa nishati wabadilishwa lakini hamna mabadiliko.

Kama BANDARI ilibinafsishwa basi na TANESCO ifuate, hatuna cha kupoteza maana hawajawahi kutoa huduma ya kuaminika,ni ukweli usiopingika serikali imeshindwa kuboresha TANESCO ili umeme uwepo mda wote
Naunga Mkono
 
Hapana hapa cha kufanya ni kufukuza kila siku hadi tupate cream na tutimize malengo yetu na kwa wale waajiriwa tukihisi wala rushwa basi tuhakikishe hata wakienda mahakamani tukiwakuza tumpgie simu hakimu au judge tumbwage hakuna namna ya kupambana na mafisadi zaidi ya udikteta ukifuata sheria fisadi humuwezi, at some point magufuli aliwezaa
Lakini wamefanya sana timua timua na hamna unafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom