Mbunge wa Momba alia na Wizara ya Afya kuhusu Huduma mbovu ya maji jimboni kwake

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462


Mbunge wa Momba, Condester Michael Sichalwe amedai kuna changamoto ya maji safi katika Jimbo na kuwalaumu Wizara ya Afya Kwa kutoshughulikia Hali hiyo.

Amedai maji wanayotumia Wanamomba hayastahili kutumiwa na Binadamu kutokana na kutokuwa masafi.
 
Tanzania Na Figisu Majimboni Yaani Mombo Palivyo Eti Nako Maji Tabu
 
Back
Top Bottom