Hili la Bashe, Makonda yupo Sahihi

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,251
4,093
Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.

Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali wa nchi?

Waziri Mkuu ndio anakulipa mshahara ?

Rais ndio anakulipa Mshahara?

Mshahara wake unatokana na kodi za wananchi, hivyo kupitia Katibu Mwenezi, wananchi wanahaki ya kuhoji kiongozi yoyote akiwemo Rais.

Wakati unaomba kura, unamuomba waziri mkuu au mwananchi?

Makonda huwa ana make sense sana , shida ni wengi wanamchukia kwa majungu ; haiwezekani kiongozi tunakulipa sisi wananchi halafu unaleta EGO ya kisomali eti nisihojiwe isipokuwa na watu 4 tu ; viongozi kama hawa hawatuvushi

Ikiwa Waziri mkuu aliweza kupokea Agizo la MAKONDA , wewe bashe ni nani ambaye uraia wako tu upo compromised !!
 
Sema Bashe anajeuri ya kipumbavu hata kama anahoja alipaswa kunyamaza asionyeshe Kibri mbele ya jamii anajiharbia sana hamjui Makonda huyu, Makonda ni Shetani mbaya sana akimuamlia hatoboi hata huu mwaka hana kila kitu na tunamsahau.
 
He's very right...

Anafanya kazi iliyopaswa kufanywa na vyama vilivyo nje ya serikali (vya upinzani).

Paul Makonda anai - challenge serikali iliyo chini ya chama chake anachokitumikia..

Anawakosoa na kuwatumia ujumbe wenzake ndani ya chama na serikali kuwa ni waongo na ni very incompetent...

Paul Makonda is an opposition within the ruling party. Swali ni, atawaweza? Jaribu kufikiri kuwa atapata mwitikio gani?

Watamvumilia?

Na ndugu yangu Megalodon unadhani udhaifu uko kwa Hussein Bashe, mteuliwa wa Rais?.

Hapana....!!

Unafikiri vibaya. Hebu fikiri tena kwa uzuri na mwisho utaelewa...

Iko hivi;

Kushindwa kwa mfumo mzima wa utendaji wa serikali chini ya CCM ndilo tatizo la msingi. Tatizo sio Bashe. Na Paul Makonda kwa kauli na matendo yake anaushambulia mfumo mzima na anatumia Hussein Bashe kwa maslahi yake lakini kimsingi anamshambulia Rais Samia Suluhu Hassan...!

Hii ndiyo hadaa, ulaghai na uongo anausema ndugu Ansbert Nguromo ktk video yake hii👇👇

Lakini kwa afanyavyo huyu jamaa, ni wazi kuwa anaufunua udhaifu na kushindwa kwa mifumo ya kiserikali kufanya kazi yake...

Tafsiri yake ni kushindwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan na mawaziri wake anaowateua yeye mwenyewe completely..

Hebu rejea kauli za Rais mwenyewe juu ya SGR, umeme na mambo mengine mengi. Huwa ni maneno matupu ya uongo. Vitendo ni sifuri na wananchi wakiendelea kuogolea kwenye shida zilezile siku zote..!

Yaani Leo hii ukimsikia kiongozi yeyote wa serikali kuanzia Rais Samia Suluhu Hassan hadi mawaziri wakitoa ahadi yoyote ya serikali, basi wananchi nendeni mkalale maana mnakuwa mmedanganywa mchana kweupe...

Mifano ya ahadi za uongo kuthibitisha uongo wao ni mingi mno kuanzia ngazi ya taifa na ya kwenye maeneo specific huku chini...!
 
Sawa , ila anahoja gani ya msingi.? Mimi naona kama anaonesha dharau kwa Mama

Enzi ya JPm Angethubutu
 
He's very right...

Anafanya kazi iliyopaswa kufanywa na vyama vilivyo nje ya serikali (vya upinzani).

Paul Makonda anai - challenge serikali iliyo chini ya chama chake anachokitumikia..

Anawakosoa na kuwatumia ujumbe wenzake ndani ya chama na serikali kuwa ni waongo na ni very incompetent...

Paul Makonda is an opposition within the ruling party. Swali ni, atawaweza? Jaribu kufikiri kuwa atapata mwitikio gani?

Watamvumilia?

Na ndugu yangu Megalodon unadhani udhaifu uko kwa Hussein Bashe, mteuliwa wa Rais?.

Hapana....!!

Unafikiri vibaya. Hebu fikiri tena kwa uzuri na mwisho utaelewa...

Iko hivi;

Kushindwa kwa mfumo mzima wa utendaji wa serikali chini ya CCM ndilo tatizo la msingi. Tatizo sio Bashe. Na Paul Makonda kwa kauli na matendo yake anaushambulia mfumo mzima na anatumia Hussein Bashe kwa maslahi yake lakini kimsingi anamshambulia Rais Samia Suluhu Hassan...!

Hii ndiyo hadaa, ulaghai na uongo anausema ndugu Ansbert Nguromo ktk video yake hii
View attachment 2892290
Lakini kwa afanyavyo huyu jamaa, ni wazi kuwa anaufunua udhaifu na kushindwa kwa mifumo ya kiserikali kufanya kazi yake...

Tafsiri yake ni kushindwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan na mawaziri wake anaowateua yeye mwenyewe completely..

Hebu rejea kauli za Rais mwenyewe juu ya SGR, umeme na mambo mengine mengi. Huwa ni maneno matupu ya uongo. Vitendo ni sifuri na wananchi wakiendelea kuogolea kwenye shida zilezile siku zote..!

Yaani Leo hii ukimsikia kiongozi yeyote wa serikali kuanzia Rais Samia Suluhu Hassan hadi mawaziri wakitoa ahadi yoyote ya serikali, basi wananchi nendeni mkalale maana mnakuwa mmedanganywa mchana kweupe...

Mifano ya ahadi za uongo kuthibitisha uongo wao ni mingi mno kuanzia ngazi ya taifa na ya kwenye maeneo specific huku chini...!

Sawa ila I am still doubting kusema Paul anashambulia mfumo

Paul anaonesha mawaziri mizogo kama bashe ambao majukumu yao na initiative zao huwa hazifiki mwisho and very soon wataenda kudanganya wananchi ili tu wapate kura

Paul yupo sahihi na ataweza, kwa Sababu anayo back up
 
Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.

Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali wa nchi?

Waziri Mkuu ndio anakulipa mshahara ?

Rais ndio anakulipa Mshahara?

Mshahara wake unatokana na kodi za wananchi, hivyo kupitia Katibu Mwenezi, wananchi wanahaki ya kuhoji kiongozi yoyote akiwemo Rais.

Wakati unaomba kura, unamuomba waziri mkuu au mwananchi?

Makonda huwa ana make sense sana , shida ni wengi wanamchukia kwa majungu ; haiwezekani kiongozi tunakulipa sisi wananchi halafu unaleta EGO ya kisomali eti nisihojiwe isipokuwa na watu 4 tu ; viongozi kama hawa hawatuvushi

Ikiwa Waziri mkuu aliweza kupokea Agizo la MAKONDA , wewe bashe ni nani ambaye uraia wako tu upo compromised !!
Kuna watu wanaandika hapa JF siku hizi mpaka unajiuliza, hupati jibu.

Mleta mada huulewi kabisa mifumo ya kiuongozi na kiutawala inavyofanya kazi.

Bashe, mawaziri wote, Waziri mkuu, Makamu wa Rais na hata Rais, wanaweza kuhojiwa na wananchi moja kwa moja au kupitia wawakilishi wao, kama wangekuwepo.

Makonda siyo mwakilishi wa wananchi bali ni msemaji wa chama.

Makonda hana mamlaka yoyote ya kumhoji au kumwajibisha kiongozi au mtendaji wa Serikali. Waziri siyo kiongozi wa chama, ni kiongozi wa Serikali. Waziri hawajibiki kwa chama, na wala chama hakikumteua kuwa Waziri.

Kama chama hakiridhiki na utendaji kazi wa Serikali au wizara yoyote ile, wanayeweza kumhoji ni Rais, siyo waziri.

Makonda si chochote katika Serikali. Hana mamlaka yoyote ndani ya Serikali. Hana uwezo wa kimpangia kazi kiongozi yeyote wa Serikali wala kumwajibisha. Ni kwa sababu nchi yenyewe hii ni banana republic, ndiyo maana kila mtu anafanya chochote anachotaka alimradi ana wajinga wengi wanaomwunga mkono.

Makonda kutokana na ushetani mwingi aliowafanyia watu huko nyuma, anatapatapa sana akiamini kwa kufanya hivyo anaweza kijisafisha na ushetani wake.
 
Sukari tu imemtoa jasho huyu Msomali
 
Acha chuki wewe CHAWA wa Wasomali
 
Sema Bashe anajeuri ya kipumbavu hata kama anahoja alipaswa kunyamaza asionyeshe Kibri mbele ya jamii anajiharbia sana hamjui Makonda huyu, Makonda ni Shetani mbaya sana akimuamlia hatoboi hata huu mwaka hana kila kitu na tunamsahau.
sahau makonda hamuwezi bashe
 
Huo uwaziri kaupata kupitia Chama gani?
 
Sema Bashe anajeuri ya kipumbavu hata kama anahoja alipaswa kunyamaza asionyeshe Kibri mbele ya jamii anajiharbia sana hamjui Makonda huyu, Makonda ni Shetani mbaya sana akimuamlia hatoboi hata huu mwaka hana kila kitu na tunamsahau.
Akimuamulia kama Lissu, au Sio!? Alivyopotea mbona hakujiamulia mwenyewe kurudi ulingoni!? Hata bashite naye alipotea, usisahau.
 
Sema Bashe anajeuri ya kipumbavu hata kama anahoja alipaswa kunyamaza asionyeshe Kibri mbele ya jamii anajiharbia sana hamjui Makonda huyu, Makonda ni Shetani mbaya sana akimuamlia hatoboi hata huu mwaka hana kila kitu na tunamsahau.
Acheni kuwapa watu sifa ambazo hawana,makonda ndio nani kwenye Taifa hili mpk Watu wamuogope?

magufuli na ubabe wake kapita kama upepo,hayupo tena, ndio iwe huyo makonda

Hana lolote,hawezi fanya chochote zaidi ya kelele
 
Huo uwaziri kaupata kupitia Chama gani?
Hiyo Sio hoja ya maana, Kwa kuwa Rais anaweza kumteua yeyote amtakaye hata ambaye Hana chama akamteua mbunge kwenye zile nafasi zake kumi na akampa uwaziri. Kwa hiyo habari ya chama achana nayo.
 
Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.

Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali wa nchi?

Waziri Mkuu ndio anakulipa mshahara ?

Rais ndio anakulipa Mshahara?

Mshahara wake unatokana na kodi za wananchi, hivyo kupitia Katibu Mwenezi, wananchi wanahaki ya kuhoji kiongozi yoyote akiwemo Rais.

Wakati unaomba kura, unamuomba waziri mkuu au mwananchi?

Makonda huwa ana make sense sana , shida ni wengi wanamchukia kwa majungu ; haiwezekani kiongozi tunakulipa sisi wananchi halafu unaleta EGO ya kisomali eti nisihojiwe isipokuwa na watu 4 tu ; viongozi kama hawa hawatuvushi

Ikiwa Waziri mkuu aliweza kupokea Agizo la MAKONDA , wewe bashe ni nani ambaye uraia wako tu upo compromised !!
Kwamba Makonda anawakilisha wananchi!? Au umelewa!? Wananchi gani waliomchagua? Makonda anapaswa kuwasemea wana CCM tu na si zaidi ya hapo, angalau Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wana mamlaka hayo kwakuwa wako pale kwa niaba ya wananchi wote.
 
He's very right...

Anafanya kazi iliyopaswa kufanywa na vyama vilivyo nje ya serikali (vya upinzani).

Paul Makonda anai - challenge serikali iliyo chini ya chama chake anachokitumikia..

Anawakosoa na kuwatumia ujumbe wenzake ndani ya chama na serikali kuwa ni waongo na ni very incompetent...

Paul Makonda is an opposition within the ruling party. Swali ni, atawaweza? Jaribu kufikiri kuwa atapata mwitikio gani?

Watamvumilia?

Na ndugu yangu Megalodon unadhani udhaifu uko kwa Hussein Bashe, mteuliwa wa Rais?.

Hapana....!!

Unafikiri vibaya. Hebu fikiri tena kwa uzuri na mwisho utaelewa...

Iko hivi;

Kushindwa kwa mfumo mzima wa utendaji wa serikali chini ya CCM ndilo tatizo la msingi. Tatizo sio Bashe. Na Paul Makonda kwa kauli na matendo yake anaushambulia mfumo mzima na anatumia Hussein Bashe kwa maslahi yake lakini kimsingi anamshambulia Rais Samia Suluhu Hassan...!

Hii ndiyo hadaa, ulaghai na uongo anausema ndugu Ansbert Nguromo ktk video yake hii👇👇
View attachment 2892290
Lakini kwa afanyavyo huyu jamaa, ni wazi kuwa anaufunua udhaifu na kushindwa kwa mifumo ya kiserikali kufanya kazi yake...

Tafsiri yake ni kushindwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan na mawaziri wake anaowateua yeye mwenyewe completely..

Hebu rejea kauli za Rais mwenyewe juu ya SGR, umeme na mambo mengine mengi. Huwa ni maneno matupu ya uongo. Vitendo ni sifuri na wananchi wakiendelea kuogolea kwenye shida zilezile siku zote..!

Yaani Leo hii ukimsikia kiongozi yeyote wa serikali kuanzia Rais Samia Suluhu Hassan hadi mawaziri wakitoa ahadi yoyote ya serikali, basi wananchi nendeni mkalale maana mnakuwa mmedanganywa mchana kweupe...

Mifano ya ahadi za uongo kuthibitisha uongo wao ni mingi mno kuanzia ngazi ya taifa na ya kwenye maeneo specific huku chini...!
Umeandika ukweli mtupu hapa . Mwenezi ana_challenge uongozi wa mwenyekiti na uwezo wake wa kusimamia aliowateua.
 
Back
Top Bottom