CHADEMA na familia ya Ben Saanane nendeni kwa Makonda awasaidie kumtafuta

Myfriend

Member
Aug 14, 2023
59
85
Wote tumeshuhudia namna Paul Makonda amekuwa jasiri na Hodari kuhakikisha haki za wanyonge zinapatikana lakini kusimamia uwajibikaji kwa Viongozi na watumishi wa Umma kote anakopita. Kwa sasa Makonda ni tumaini linalochomoza la wanyonge kuwapatia haki.

Ni wakati muafaka sasa Familia ya Ben saa nane na CHADEMA kwenda kumuomba Makonda kusaidia upatikanaji wa huyu kijana.

Ben saa nane alikuwa msaidizi wa karibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA, akimsaidia kufanya tafiti na uchambuzi katika masuala ya siasa na Uchumi. Siku aliyotoweka ni siku taifa lilipotangaziwa kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge, Samweli Sita, vikao vya bunge vilikuwa vinaendelea Dodoma.

Taarfa iliyotolewa na John Mrema ilisema siku hyo jion alpotoweka, simu yake ilitumika kutoa pesa kwa wakala M-Pesa eneo la Mburahati, tangu hapo utambuzi wa simu yake ulipotea na inaonekana simu yake ya mkononi walii-block. Tangu wakati huo mpaka leo Ben hajawahi kupatikana na haijulkani kama yuko hai au amekufa.

Makonda akiwa shinyanga amekutana na kesi zaid ya mbili za watu kutekwa na kupotezwa,na kwa dhati ameagiza ufatiliaji wa haraka na haki kupatikana kwa hao watu,Chadema na familiya ya ben saa nane enendeni katika mikutano ya makonda, mkaongee kwa unyenyekevu haki ya ben saa nane itapatikana.

Haki htafutwa popote, najua mtasema mshareport katika mamlka husika lakini msichoke kutafta haki ya Ben Saanane. Linapokuja suala la haki ni vema tofauti za kisiasa zikawekwa kando. Kama polisi na taasisi nyingne zimeshindwa kushughulkia madai yenu, nendeni kwa Makonda.

Ingawa nimetoa angalizo kuhusu makonda. Ipo siku yaja kwa huyu mwenezi msipomfunda CCM na Rais Samia mtavuna mabua lkn huyu jamaa anaonesha ujasiri mkubwa na anastahili maua yake,na kwa harakati anazofanya he deserve more than this na ninataman agombee uraisi wa nchi hii.

Niseme tu hizi harakati zilitakiwa zifanywe na upinzani na mm kwa dhati nilitoa ushauri huu. USHAURI: Kwako Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu Makonda ameunyaka ushauri na huu mfupa anaugegeda ipasavyo.

Tazama hapa namna makonda anavosaidia wanyonge,hata kama anaigiza but this man is trying,anakitu na anaweza kuibadili nchi,watanzania wanahtaj mtu jasiri na mwenye kuonesha kuleta Mabadiliko na hii ndiyo support waliyoitumia Chadema kujizolea umaarufu.

Makonda ndiye aliyemteka na kumuua Ben Sa8. Kwa ni matusi ya nguoni kuwataka familia ya Ben Sa8 na Chadema kwenda kwa muuaji Makonda makalio makubwa.
Sio Magufuli tena ni Makonda? Hahaha aiseees
 
Nchi hii ina wapumbavu wengi na mmojawapo ni wewe. Yaani CHADEMA wakamlalamikie Makonda huyuhuyu aliyemteka Ben Sanane na kumpeleka kwa Magufuli?? Na kisha kuuliwa?

Wacha kuandika kejeli kwenye chama kilicho na watu wenye akili.

Siku yaja, siyo leo au kesho, Makonda atakuja kupanda kizimbani na kuelezea namna walivyomteka Ben Saanane na wapi walizika mwili wake.
 
Makonda ndiye aliyemteka na kumuua Ben Sa8. Kwa ni matusi ya nguoni kuwataka familia ya Ben Sa8 na Chadema kwenda kwa muuaji Makonda makalio makubwa.
Ukiwa mvuvi cku ukipotea watu wengi wasiopenda kufikiria sana wataamini inawezekana ulifia majini huko, vivo hvyo ukiwa mchimba madini watu wa jinsi hyo wataamini umefukiwa na kifusi same ukiwa mwanajeshi ukipotea wataamini umefia vitani.Same ukiwa mkosoa serikali cku ukipotea watu wa jinsi hyo pia wataamini serikali imekuua.Sijawahi kuckia hata ushahidi wa kimazingira unaohusisha serikali na kifo cha Ben zaidi ya watu kuburuzwa na hisia (ingawa kila kitu kinawezekana).Mi nadhani wana CHADEMA kama hamna ushahidi hata wa kimazingira tu,mtupumzishe na kelele za Ben kauwawa na serikali.
 
Nafkri ni namna Vyombo vya Dola vinavoshughulika na maswala kama haya,ndo mana unaona watu wanapoteza Iman na hivi Vyombo badala yake wanashtaki Kwa wanasiasa na Cha kushangaza ndo utaskia na mabosi wanapiga simu
 
Back
Top Bottom