Ziara za mwenezi Paul makonda

Ziara za mwenezi Paul makonda

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
32,911
Reaction score
82,213
Nimejaribu kufuatilia kwa karibu sana ziara wa Mwenezi Paul Makonda, na kuangalia namna mikutano yake inayokuwa , nilichosikitika ni kwamba
1. Mifumo ya utoaji haki kwa nchi hii haiko sawa kabisa, watu wanateseka bila kujua watapata wapi msaada
2. Watu Wana maisha magumu sana na hawana mtu wa kuwafariji wala wa kuwasaidia , na wamezoea
3. Matatizo ya jamii nyingi ni Yale Yale afya , elimu , maji , barabara, na family and social n.k
4. Watendaji wengi wa serikali (Civil servants) wanateseka sana kwenye kutekeleza majukumu yao kutokana na Sera nyingi kuwa za kisiasa bila kuwa na miongozo ya utekelezaji wake (hasa kwenye afya )
5. Wananchi wengi hawana matumaini , wamekata tamaa ndio maana hakuna anaekwenda kusikiliza Sera za Chama bali wengi wanaenda kwa sababu ya kusililizwa shida zao
6. Japokuwa CCM ndio inasimamia serikali, Kuna mapishano makali ya wanayohubiri CCM na kile ambacho serikali inatekeleza wanapishana sana na hakuna coordination nzuri
 
Mifumo ya utoaji haki ipi? Maana hata ndani ya jamii, serikali, Bunge, kuna michakato ya haki, ila mamlaka ya mwisho ni Mahakama, Kama mifumo ya kimahakama unaambiwa ukate rufaa. Mahakama ni sehemu ya sheria na haki, ili upate haki, thibitisha.
 
Nimejaribu kufuatilia kwa karibu sana ziara wa Mwenezi Paul Makonda, na kuangalia namna mikutano yake inayokuwa , nilichosikitika ni kwamba
1. Mifumo ya utoaji haki kwa nchi hii haiko sawa kabisa, watu wanateseka bila kujua watapata wapi msaada
2. Watu Wana maisha magumu sana na hawana mtu wa kuwafariji wala wa kuwasaidia , na wamezoea
3. Matatizo ya jamii nyingi ni Yale Yale afya , elimu , maji , barabara, na family and social n.k
4. Watendaji wengi wa serikali (Civil servants) wanateseka sana kwenye kutekeleza majukumu yao kutokana na Sera nyingi kuwa za kisiasa bila kuwa na miongozo ya utekelezaji wake (hasa kwenye afya )
5. Wananchi wengi hawana matumaini , wamekata tamaa ndio maana hakuna anaekwenda kusikiliza Sera za Chama bali wengi wanaenda kwa sababu ya kusililizwa shida zao
6. Japokuwa CCM ndio inasimamia serikali, Kuna mapishano makali ya wanayohubiri CCM na kile ambacho serikali inatekeleza wanapishana sana na hakuna coordination nzuri credit by Octavian
Tatizo kubwa lipo kwenye mfumo wa uongozi tulionao. Hautufai na umepitwa na wakati. Huwezi kuendesha nchi kubwa kama Tanzania kwa kutegemea maamuzi na usimamizi wa mtu mmoja au wawili na hata hamsini. We need changes ASAP.
 
Naunga mkono hoja
 
Mikutano hii inaivua nguo CCM na Serikali yake,inamjenga Makonda na inawapa wapinzani fimbo ya kuichapia CCM kwenye chaguzi zijazo.
 
Nimejaribu kufuatilia kwa karibu sana ziara wa Mwenezi Paul Makonda, na kuangalia namna mikutano yake inayokuwa , nilichosikitika ni kwamba
1. Mifumo ya utoaji haki kwa nchi hii haiko sawa kabisa, watu wanateseka bila kujua watapata wapi msaada
2. Watu Wana maisha magumu sana na hawana mtu wa kuwafariji wala wa kuwasaidia , na wamezoea
3. Matatizo ya jamii nyingi ni Yale Yale afya , elimu , maji , barabara, na family and social n.k
4. Watendaji wengi wa serikali (Civil servants) wanateseka sana kwenye kutekeleza majukumu yao kutokana na Sera nyingi kuwa za kisiasa bila kuwa na miongozo ya utekelezaji wake (hasa kwenye afya )
5. Wananchi wengi hawana matumaini , wamekata tamaa ndio maana hakuna anaekwenda kusikiliza Sera za Chama bali wengi wanaenda kwa sababu ya kusililizwa shida zao
6. Japokuwa CCM ndio inasimamia serikali, Kuna mapishano makali ya wanayohubiri CCM na kile ambacho serikali inatekeleza wanapishana sana na hakuna coordination nzuri
Ni kweli, wananchi tunayo matatizo mengi kimwili na kisaikolojia. Mifumo rasmi ya kidola (serikali) imeshindwa kukabili tatizo hili; ndiyo sababu Mwanasheria Mkuu wa Serikali amebaini hilo na kushauri kuundwa ofisi/vituo jumuishi maalumu vya kisheria vya kusikiliza kero za wanachi. Vinginevyo anachokifanya sasa Mwenezi hakuna tofauti na mikusanyiko ya 'mitume' na 'manabii' wa enzi hizi ambapo wananchi huenda kuombewa miujiza!
 
Bila shaka umeanza sasa kumkubali Mheshimiwa Makonda mtetezi na sauti ya wanyonge.naona umeamini sasa kuwa ziara za Mheshimiwa zina tija kubwa sana na pia watanzania wana imani kubwa sana juu yake. Na umeanza kuamini ile kauli yangu kuwa Watanzania wanataka awe Rais wao baada ya Rais Samia kumaliza muda wake 2030. Naona sasa akili yako imekukaa sawa na umeanza kuona ukweli kuwa Mheshimiwa anachapa kazi sana katika kuwatetea na kuwasemea watanzania walio wengi na ambao wamebeba mazito katika mioyo yao.
 
Lakini me naona ni bora hata huyo mwenezi anavyozunguka..angalau wananchi wanapata pa kusemea... maana muda mwingi wananchi hawajapata mtu wa kuwasikiliza kutokana na mfumo wa nchi yetu ulivyokaa...
 
Bila shaka umeanza sasa kumkubali Mheshimiwa Makonda mtetezi na sauti ya wanyonge.naona umeamini sasa kuwa ziara za Mheshimiwa zina tija kubwa sana na pia watanzania wana imani kubwa sana juu yake. Na umeanza kuamini ile kauli yangu kuwa Watanzania wanataka awe Rais wao baada ya Rais Samia kumaliza muda wake 2030. Naona sasa akili yako imekukaa sawa na umeanza kuona ukweli kuwa Mheshimiwa anachapa kazi sana katika kuwatetea na kuwasemea watanzania walio wengi na ambao wamebeba mazito katika mioyo yao.
Chawa katika harakati zako
 
Back
Top Bottom