Inawezekana CCM ina hofu kidogo kuhusu mkoa wa Mwanza?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Au labda "hofu" is too strong a word?

Kwa sababu huu ndio Mkoa ambao mgombea wa CCM (Kikwete) alishambuliwa jukwaani na chizi. Huu ndio mkoa ambao TANU ilikuwa inaihitaji msaada wa Bomani kuingia na kutoka kule.

Sasa tunaona Makonda yuko Maswa,lakini huko si ndiko alikoenda miezi michache iliyopita,alipopanda mkokoteni kule? Yaani, safari ya Makonda kule ya sasa hivi inakuwa kama ni matayarisho ya Rais kwenda Mwanza.

I mean, kama rais yupo Mwanza kwa nini Makonda hakwenda kusini. Talking about the south,Rais Samia inaonekana kama vile anakwepa kwenda kusini. Lakini that is understandable, na wale wamakonde,waislamu wa chiacha Kali walioko Msumbiji.
 
Umeamua kuwapangia watende uwazavyo

Crap
 
Walimu na wanafunzi shule za msingi walisombwa na Costa kupelekwa uwanjani wakiwa katika nguo za home Ili kuokoa jahazi kuzama, ingawa Bado palipwaya.

Cha ajabu, baada ya mkutano kwisha, wakafanyiwa uhuni na kutelekezwa, wasirudishwe makwao.
 
Politics is a science. While undergoing mchakato huwez kudharau SMART and SWOT,while dealing with these variables wataalam lazma waelekeze mahali ambako throughthere we can maximise profit reduc loss and so so
 
Au labda "hofu" is too strong a word?

Kwa sababu huu ndio Mkoa ambao mgombea wa CCM (Kikwete) alishambuliwa jukwaani na chizi. Huu ndio mkoa ambao TANU ilikuwa inaihitaji msaada wa Bomani kuingia na kutoka kule.

Sasa tunaona Makonda yuko Maswa,lakini huko si ndiko alikoenda miezi michache iliyopita,alipopanda mkokoteni kule? Yaani, safari ya Makonda kule ya sasa hivi inakuwa kama ni matayarisho ya Rais kwenda Mwanza.

I mean, kama rais yupo Mwanza kwa nini Makonda hakwenda kusini. Talking about the south,Rais Samia inaonekana kama vile anakwepa kwenda kusini. Lakini that is understandable, na wale wamakonde,waislamu wa chiacha Kali walioko Msumbiji.
Hofu ni kwamba ile kanda ina watu wengi sana hivyo wanaogopa kupoteza kura.kusini hakuna watu wengi na pia hakuna ushindani mkubwa
 
Walimu na wanafunzi shule za msingi walisombwa na Costa kupelekwa uwanjani wakiwa katika nguo za home Ili kuokoa jahazi kuzama, ingawa Bado palipwaya.

Cha ajabu, baada ya mkutano kwisha, wakafanyiwa uhuni na kutelekezwa, wasirudishwe makwao.
We Ina maana hata menyu haikupatikana
 
We Ina maana hata menyu haikupatikana
Itoke wapo? Ukigoma unatishwa kutimuliwa,

Walimu wanaonewa sana.

Shukuru wewe Si mwalimu. Hata kufundisha muda wa ziada, hawalipwi hata mia,

Ni Amri tu kama ng'ombe unafuata.
 
Au labda "hofu" is too strong a word?

Kwa sababu huu ndio Mkoa ambao mgombea wa CCM (Kikwete) alishambuliwa jukwaani na chizi. Huu ndio mkoa ambao TANU ilikuwa inaihitaji msaada wa Bomani kuingia na kutoka kule.

Sasa tunaona Makonda yuko Maswa,lakini huko si ndiko alikoenda miezi michache iliyopita,alipopanda mkokoteni kule? Yaani, safari ya Makonda kule ya sasa hivi inakuwa kama ni matayarisho ya Rais kwenda Mwanza.

I mean, kama rais yupo Mwanza kwa nini Makonda hakwenda kusini. Talking about the south,Rais Samia inaonekana kama vile anakwepa kwenda kusini. Lakini that is understandable, na wale wamakonde,waislamu wa chiacha Kali walioko Msumbiji.
Hapo kwenye Msumbiji ungeandika nchumbiji, in makonde's voice...
 
Kanda ya ziwa wana uwezo wa kubadili siasa za nchi hii muda wowote kutokana na wingi wao pia na mwamko mkubwa kwa watu wa kanda hiyo.

Politics is all about numbers,ukiwa na uwezo wa kushawishi kundi kubwa basi wewe ndio mshindi.

Kusini wale ni vilaza na ccm inauhakika wa kura huko iwe jua iwe mvua mana wajinga wengi pia ni idadi ndogo ya wapiga kura,ndio mana wanapuuzwa.
 
Back
Top Bottom