Tupunguze "shughuli" kupunguza gharama za serikali na pia kuongeza muda wa kazi

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,660
46,350
Kupokea ndege mpya shughuli

Kusaini mikataba ya bomba la mafuta, shughuli

Kupokea pesa za kishika uchumba makinikia shughuli

Kupokea gawio kutoka mashirika ya umma shughuli

Kuzindua minara ya mawasiliano shughuli

Kusaini mkataba na DP World shughuli

Kuzindua ripoti ya sensa shughuli

Shughuli za hafla za utiwaji saini Airtel na sirikali,

Kuuziana hisa shughuli !
 
Back
Top Bottom