Polisi walianza kujiingiza ccm, baadae wakajigeuza kuwa wanachama wa ccm. IGP kadhaa wameruhusu hilo litokee.
Leo Makonda anamuita mtu mwenye level ya RPC anamuhoji kwenye mkutano wa hadhara. Hii...
Vijana saivi wanajiita chawa hivi unajua chawa ni kitu Gani au anasifa ya kukaa kwenye nini tuache Ujinga
Wakufata fata mkumbo tujitambue tusimama kutetea Taifa letu
Katika kada ambazo Makonda anaweza kushindwa au kukwama kuzihoji hadharani hata kama ikitokea kukawa na malalamiko dhidi yake ni pamoja na
1. Mahakama; Majaji na Mahakimu
2. Uhamiaji
3. Jeshi...
UWT YASIMAMA KIDETE KUMSAIDIA NDUGU. MARIA NGODA KATIKA KESI INAYOMKABILI
RUFAA YA MARIA NGODA YASIKILIZWA
IRINGA
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu...
"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza...
Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za...
Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya tarehe, 29 January 2023
Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu,
Makala ya leo ni kuhusu hiki kinachoendelea Bungeni kwa Kamati ya...
Katika mwaka wa 2024 kutakuwa na uchaguzi mwingi zaidi wa kisiasa duniani kote kuliko mwaka mwingine wowote. Hata hivyo, watu wengi wanazidi kuacha kuwaamini wanasiasa.
Katika uchunguzi...
Mara nyingi Mteule wa Rais akiwaza na kutaka kutekeleza mambo kwa uwezo wake wa kufikiri lazima atumbuliwe au aonywe. It's like kuteuliwa ni sehemu yakuua maono binafsi ya mwanasiasa badala yake...
Polepole alileta hoja ya wagonjwa kujiandikisha wapate dawa kutoka CUBA akishirikiana na Hospital ya Kairuki
Tukaandika hapa kwamba mpango wake umepigwa vita na wanasiasa wenzake na kwamba...
Wasalaam Jf,
Nimemsikiliza mtoto Halfan Gidion nikatokwa na mchozi binadamu tuzidi sana kumwomba Mungu
Kwakuwa yeye amemchagua Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwamba ndio tegemeo lake la...
Wadau ni ukweli usiopingika kwani katiba iliyopo ipo wazi juu ya mbunge kupotexa ubunge wake na moja ya sababu ni kufukuzwa ktk chama chake. Suala la kuutetea uanachama wake ni jukumu lake lakini...
Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali
"hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni...
Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi.
Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa...
Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano
CHADEMA walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao...
Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali...
Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama.
"Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku...
Leo ni tarehe Mosi Februari 2024. Tuliambiwa na Mhe. Waziri Mbarawa kuwa safari za treni mwendokasi kati ya Dar na Moro kuanza January 24.....
Je, tuendelee kuwaamini CCM kuwa wana nia njema na...
Iko hivi katika siasa!
Ukitaka kulinda Staha kwa wapigakura wako mwanasiasa fanya kujiuzulu tu kimyakimya!
Ukiomba kibari cha kujiuzulu ...utadhalilishwa kwa kutumbuliwa na kuharibiwa sifa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.