Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Rasmi sasa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan ametimiza umri wa miaka 64 kutokana na kuwa alizaliwa siku ya jumatano ya tarehe 27...
Ndugu Bashe ni waziri aliyetokana na ubunge, Katiba yetu inampa Mh. Rais kuchagua mawaziri wanaotokana na chama chake
Kwa sababu hiyo, Ndugu Bashe asisahau kwamba, yeye ni mbunge aliyetokana na...
Bashe NI kiongozi ambaye amejawa kiburi na dharau kwani Hana sababu za msingi za kusema yeye ana mabosi Wanne tu ndio wakuongea nao ajuwe kazi aliyonayo ni yakuhudumia umma na nafasi aliyonayo...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Ileje Kata ya Ibaba kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero za wananchi na...
Sisi wananchi tu tunawashangaa Tazara,
vipi wageni wanajisikiaje?
Treni ilikuwa iondoke saa saba ila mpaka saa hizi wanatutangazia mpaka saa 12,
na hapo ni danadana tu zinaendelea.
Nimeambiwa...
Akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, Waziri Jenista Muhagama (Waziri wa Nchi, Bunge na Uratibu) amesema Serikali inapendekeza ibara...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (R) Jacobs Mwambegele (kushoto) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine kiliteua madiwani watano (5) wanawake...
Nimemsikiliza Mwenyekiti ya kamati ya Bunge. Huyu ndugu alipewa majukumu mawili kwa wakati mmoja. Kusikiliza wananchi na kupeleka maoni yao bungeni au kusikiliza maoni ya wanakamati na kuyapeleka...
Kwa kweli hata mimi🤣🤣🤣 cha ajabu zaidi walimu hao hao wa kata wnaapeleka watoto private yaani kama Nina uwezo siwezi peleka mwanangu kwenye huo upuuzi wa shule za serikali
Kuna msemo kwamba, " to...
Leo asubuhi ulikuja kuonana na wazazi na majirani wa shule ya Msingi JUHUDI, kata ya Lukobe, ukiambatana na Mkurugenzi wa Manispaa. Kuja kwako ni kutokana na Jana wazazi wa wanafunzi wa JUHUDI...
Japo siamini kama ni wote, lakini inaonekana kama vile wanaofanikiwa kwenye siasa wana tabia za kipekee kama:
• Bingwa wa kusema uongo
• Mbabe
• Majuzi wa kuiba kura
• Mpenda ushirikina
Ni kama...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameliambia Bunge, Mjini Dodoma kuwa katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2016/2017 hadi Desemba 2023, imewalipa wazabuni na wakandarasi...
Kwa matukio yaliyowahi kuibuka na kusababisha hasira kwa wengi, lakini baada ya muda hali ikawa kimya, inaweza ikawa ni ishara kuwa Watanzania ni watu wa kipekee sana. Ama ni wasahaulifu au wana...
Paul Makonda anazunguka nchi nzima,anafanya maigizo kwa wananchi, kujidai wanaripoti matatizo kwake na yeye kuyatatua ambapo huenda ,so far amepita sehemu ambazo mteuzi wake hajafika.
Mwenezi...
Wapo viongozi wa kisiasa nchini mwetu,ambao wanaonekana kuguswa sana na matatizo ya mtu mmoja mmoja na hivyo kupenda kuwasikiliza hadharani kwenye mikutano yao ya kisiasa.
Hutokea watu wachache...
Kuijenga Tanzania mpya kunahitaji watu mahiri na makini bila kujali asili zao. Yanga na Simba zinafanya vizuri Sasa baada ya kusajili wachezaji wenye ujuzi mkubwa bila kujali uraia wao.
Tanzania...
Cde. Shemsa Mohammed Katika Mapokezi ya Makonda Mkoani Simiyu, Akitawazwa Jina la Bagolole.
KATIBU wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda amewasili Mkoa wa...
Hii Ndio taarifa inayojadiliwa zaidi na Wana Mbeya kwa sasa
RC Homela na Uongozi mzima wa mkoa wa Mbeya tarehe 02/02/2024 watasikiliza kero za Wananchi wote wa mkoa huo
Hii inafanyika kabla...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara ,akiwa Shinyanga mjini ametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.