Kitimtim cha Makonda; RC Homela na Uongozi mzima wa mkoa wa Mbeya kusikiliza kero za Wananchi 02/02/2024 Sugu aalikwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,972
141,984
Hii Ndio taarifa inayojadiliwa zaidi na Wana Mbeya kwa sasa

RC Homela na Uongozi mzima wa mkoa wa Mbeya tarehe 02/02/2024 watasikiliza kero za Wananchi wote wa mkoa huo

Hii inafanyika kabla Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Makonda hajaufikia mkoa huo katika Ziara yake ya Mikoa 20

Makonda kama Shujaa Magufuli dadeki 😀😀

Mlale Unono 😀
 
Mbeya kuna kero nyingi sana hasa kamatakamata ya bajaji, wale vijana ni kama wamewekwa watu wasio na taaluma ama ustaarabu, wengi wao hawana maadili na niwalarushwa wakubwa, halafu ni kama hili jambo limebarikiwa na viongozi wa halmashauri. Nadhani Makonda akifika hili swala litaibuka tu.
 
Siyo mchezo 😀😀
 
Makonda kama Shujaa Magufuli dadeki

Mlale Unono
Kumsikiliza Makonda mpaku uwe na UJINGA UJINGA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Lyrics

I don't know why I keep believing
That one day they'll bring us together
When they've shown
In more ways than one (One one)
That all they care about is the dollar
You belong to the one
Political party
I belong to the one
Musical party
Our differences are worlds apart
Just like guns and roses

If we don't take control
Of the situation
We'll stay forever
In this here commotion (This here commotion)
Of these guns and the roses
That we've got to live with
These guns and the roses

That we've got to live with
These guns and the roses
That we've got to live with

How can five years of power
Destroy a lifetime of togetherness
One time we were judged
By the colour of our skins (Skin)
Now we are judged by the colour of our flags (Colour of our flags)
Let us unite against being divided
You belong to the one
Political party (Political party)
I belong to the one
Musical party (Musical party)
Let us take control of the situation
Otherwise we'll be trapped in
These guns and the roses (Situation)

That we've got to live with (Every time)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (We gotta live with)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (Every time)
We'll be trapped in these
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (Every day)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (We got to live with every day)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (We got to every day)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (Oh every day)
 
Hii Ndio taarifa inayojadiliwa zaidi na Wana Mbeya kwa sasa

RC Homela na Uongozi mzima wa mkoa wa Mbeya tarehe 02/02/2024 watasikiliza kero za Wananchi wote wa mkoa huo

Hii inafanyika kabla Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Makonda hajaufikia mkoa huo katika Ziara yake ya Mikoa 20

Makonda kama Shujaa Magufuli dadeki 😀😀

Mlale Unono 😀
Homera hajaanza Leo kusikiliza kero za Wananchi.

Ni kati ya Ma RC wachache 3 au 4 ambao Huwa nawaona mara kadhaa Wakiwa kwenye mikutano ya kero

Wengine ni RC Chalamila,RC Makalla,RC Mtanda ,RC wa Ruvuma na RC wa Songwe.
 
Wanamaliza tu fedha za watanzania kwa kuzurura kuuliza matatizo wakati yanajulikana
 
Lyrics

I don't know why I keep believing
That one day they'll bring us together
When they've shown
In more ways than one (One one)
That all they care about is the dollar
You belong to the one
Political party
I belong to the one
Musical party
Our differences are worlds apart
Just like guns and roses

If we don't take control
Of the situation
We'll stay forever
In this here commotion (This here commotion)
Of these guns and the roses
That we've got to live with
These guns and the roses

That we've got to live with
These guns and the roses
That we've got to live with

How can five years of power
Destroy a lifetime of togetherness
One time we were judged
By the colour of our skins (Skin)
Now we are judged by the colour of our flags (Colour of our flags)
Let us unite against being divided
You belong to the one
Political party (Political party)
I belong to the one
Musical party (Musical party)
Let us take control of the situation
Otherwise we'll be trapped in
These guns and the roses (Situation)

That we've got to live with (Every time)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (We gotta live with)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (Every time)
We'll be trapped in these
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (Every day)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (We got to live with every day)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (We got to every day)
These guns and the roses (Situation)
That we've got to live with (Oh every day)
Ujumbe mzuri sana
 
Mbeya kuna kero nyingi sana hasa kamatakamata ya bajaji, wale vijana ni kama wamewekwa watu wasio na taaluma ama ustaarabu, wengi wao hawana maadili na niwalarushwa wakubwa, halafu ni kama hili jambo limebarikiwa na viongozi wa halmashauri. Nadhani Makonda akifika hili swala litaibuka tu.
Bajaji inabifi zipungue huko Mbeya
 
Homera alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru kabla hajawa Mkuu wa Mkoa wa Katavi na sasa Mbeya.

Homera ni Kamisaa wa Chama Mkoa wa Mbeya.

Twambombo tununu itoro Malafyale
 
Back
Top Bottom