Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .
Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa...
Malezi ya mtoto mchanga yanahitaji uangalizi mkubwa sana wa mama yake! Nashangaa serikali mnasisitiza mtoto asipewe maji wala uji ndani ya miez 6! yaani awe anashindia maziwa ya mama tu!
Nyinyi...
Upo msemo unaosema kuwa ili ndoa iweze kudumu kwa muda mrefu, mke usishike simu ya mme wako, na Mme usishike simu ya Mke wako.
Lakini kwa watu wengine Mke au Mme hushika na kuperuzi simu za wenza...
Nimefuatilia mijadala Bungeni kuhusu Sheria za Uchaguzi. Nilitegemea kusikia ushauri, maoni yaliyotolewa na wadau wote yakijadiliwa moja baada ya moja lakini cha kushangaza Wabunge wengi...
Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati,
Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana!
Nawasemea vijana lukuki wa...
Mtifuano mkali katikati ya majira tete ya chaguzi za 2024 na 2025 baina ya viongozi waandamizi wa CCM na serikali yake kuhusu mipaka ya kazi na uwajibikaji wa viongozi hao unaleta ukakasi na...
Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi?
**Cha ajabu chuo hiki pendwa hii. Hakuna midahalo, Wala...
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya Mheshimiwa Paul Makonda kusimamisha ziara yake kwa siku chache ili kuungana na kushiriki katika ziara ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama...
“Tunaendelea kuwaomba ifikapo Februari 16 tutakuwa tumekamilisha majaribio kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere na hivyo tunategemea megawati za mwanzo 215 tutaanza kuzipata [...] Tunaomba mwendelee...
Mbunge Abdulhafar Juma akichangia kwenye miswada ya sheria uchaguzi ametoa pendekezo la kuongeza kipengele cha kutoa elimu namna ya kupokea matokeo.
Akisema, "Kushindwa kwa baadhi ya viongozi...
Serikali yetu pendwa chini ya Rais wetu Mama Samia Suluhu imekuwa ikitudanganya baadhi ya mambo, na mbaya zaidi serikali yetu imekuwa haituletei mrejesho wa mambo waliyotuahidi.
Haya ni baadhi ya...
Kama raia, tanapoyatamini na kuyatafuta maendeleo lazima kuna ukweli tunahitaji kuufahamu vizuri.
Mojawapo ni hili la kwamba demokrasia haileti maendeleo, pia udikteta hauleti maendeleo...
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anasema "Ilipotokea ajali ya mabomu kule Gongo la Mboto, mimi nikiwa Waziri wa ulinzi nilipeleka ujumbe kwa Rais wangu wakati huo Mhe. Kikwete nikimtaka...
Naambiwa mkurugezi wa mwendo kasi akijumuisha salary, posho, safari na usafiri kwa mwezi mmoja anatumia zaidi ya milioni kumi za wananchi.
Lakini pamoja na kulipwa fedha zote hizo bado hakuna...
Wakati wa Awamu ya 4 Rais akiwa Kikwete CHADEMA walikuwa Wanafanya sana mikutano ya hadhara tena bila chopa na walipata nyomi.
Lakini awamu pamoja na kuruhusiwa na Rais Samia bado hawafanyi...
Salaam ndugu zangu,
Mwaka huu miezi ijayo tunatarajia kuwa na Uchaguzi wa Serikali za Mtaa
Nimekuwa siridhishwi na uongozi wa Serikali ya mtaa wetu kwa mambo mengi sana. Nataka nijaribu...
Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo.
Lakini kwa...
Tanzania na Global Fund zimesaini mikataba minne ya misaada yenye thamani ya dola za Marekani milioni 606.9 sawa na zaidi ya shilingi trilioni 1.4 kwa ajili ya kupambana na maradhi ya UKIMWI...
"Kwa kuwa tunaamini kwamba tukiunganishwa kwenye gridi ya Taifa ndiyo itakuwa utatuzi wa changamoto ya umeme lakini maeneo ambayo tayari walishaunganishwa bado umeme unakatika".
"Mwaka jana...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.