Mbunge awachana bungeni wanaodai hajaolewa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,429
Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .

Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la

Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni

Screenshot_2024-01-31-13-20-07-1.png
 
Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .

Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la

View attachment 2889716
Atoe hendo ya mumewe kwenye insta na tweeter.
Watu wansema hivyo kutokana na matendo yake.
 
Back
Top Bottom