Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
13 Reactions
194 Replies
37K Views
Benki ya DCB iliingia soko la hisa la Dar es salam na share zake zilianza kupanda lakini kwa Tangazo hili la Benki ni ukweli ulio wazi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kwenye hisa zake...
6 Reactions
55 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe wakati akiwasilisha ujumbe wa maandamano ameonya kuwa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia imekuwa ya anasa kupitiliza kwa maafisa wake kulipana...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumekuwa na upotoshwaji mkubwa kutoka kwa wale wanazoziendesha nchi zao kiimla na kujitetea kuwa demokrasia siyo sawa sawa na kinywaji cha coca-cola ambapo radha yake itakuwa moja Dunia nzima...
5 Reactions
19 Replies
44K Views
Habari za Leo wanajami forum wezangu. Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea na mapambano yakujitafutia ugali wa kila siku Kwenye nchi iliyo fanywa kuwa kisiwa cha wavumilivu. Leo...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKATI niliposikia tangazo la maandamano lililotolewa na uongozi wa CHADEMA,Binafsi nilipata tumaini kuwa sasa ni ule muda uliosubiriwa na Watanzania kwa ajili ya kusimama,kupigana na kutetea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali hii ya CCM ina mambo ya ajabu sana. Ni aibu kwa serikali inayojinasibu kuzingatia usawa kufanya uhuni wa kiwango hiki. Sijawahi kuona serikali yenye ubaguzi mkubwa kwa wananchi wake hapa...
26 Reactions
281 Replies
19K Views
Madai yao yanatekelezeka? Yatatekelezwa na nani? Yatatekelezwa lini? Yatatekelezwa wapi? Tz hii? Yasipotekelezwa what is the next course of action? Maandamano yalipeleka ujumbe kwa mhimili...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Jumamosi ya wiki hii ya Tarehe 27 januari 2024 Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan, mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri...
3 Reactions
69 Replies
4K Views
https://www.youtube.com/watch?v=BTFeRepAxVg Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Viwanja vya Makazi ya Rais (Bogor Presidential Palace) Jijini Jakarta, Indonesia na kupokelewa na mwenyeji...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Hali ya vituo vingi vya daladala nchini hasa wakati wa mvua bado ni mbaya sana. Lakini kama mjuavyo Mwamba ngoma huvutia kwake wacha leo niwaoneshe hali ya kituo cha mtaa wetu hapa...
1 Reactions
2 Replies
582 Views
Kuwa na mvuto wa watu, hahitaji kuwa na madigere na au PhD ili ukubalike na watu Ukiniuliza mimi, kwa yale tuliyoyasikia miaka hiyo ya utawala ya JPM hasa kumhusu Makonda, namna vyomba vya habari...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kila mmoja wetu ana sababu zake za kuchagua na kupenda chama cha siasa anachoona kuwa kinamwakilisha vyema. Huku kila mmoja akiwa na sababu tofauti, ni muhimu kujiuliza: Je, ni sababu zipi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanabodi Kuna huu msemo kuona ni kuamini na ni kujifunza!. Je, Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Humu jamvini kimya ; unajua kwanini? Chadema wamecheza kama Pele katika angle zote 1. Viongozi wakuu wote wameshiriki akiwemo Lisu tuliyeambiwa ana ugomvi na Mbowe 2. Tuliambiwa watoto wao nao...
40 Reactions
80 Replies
6K Views
Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa waraibu wa JF, usingizi ukinikatika, huingia JF, Alfajiri ya leo, usingizi umekata mapema, ile swalaa swalaa imenikuta macho, hivyo baada ya yale ya msingi baada...
17 Reactions
23 Replies
2K Views
Hii NCHI ina Watu Wajinga sana na ndio maana HAYATI Baba wa Taifa Aliutaja UJINGA kama ADUI wa Nchi hii kwani ALIJUA kuna WAJINGA WENGI. Kutokana na VIONGOZI WETU kulijua hilo Wamekuwa Wakiutumia...
5 Reactions
4 Replies
894 Views
Pamoja nakuruhusiwa kufanya maandamano hakuna impact yoyote iliyotokea ya mwitiko wa watu hii maana yake NI kwamba watu walishachoka na siasa za majitaka. Wengi wanajuwa CHADEMA NI janja janja ya...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Bundi anaendelea kuisakama Nchi linapokuja swala la mikataba ya Kimataifa. Saizi ni Zamu ya TRC na kampuni ya EuroWago. Kampuni ya Euro Wagon ya Germany imeingia kwenye mzozo na TRC Kufuatia...
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Back
Top Bottom