Ukweli ni kwamba CHADEMA siyo chama cha upinzani NI kivuli cha CCM

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Vijana endeleeni kudanganywa na Mr.dj hata hayo maandamano aliyotangaza NI kiini macho kwa kuwa mpango huo hauwezekani anataka kuaminisha wafuasi kwamba NI mpambanaji kumbe nyuma ya pazia anapiga noti kupitia chama hicho.

Niliwahi kuwaambia kwamba mbowe siyo kiongozi wa upinzani isipokuwa NI kiongozi wa kivuli cha upinzani na mkitaka kuamini Hilo hata uenyekiti hatokuja kutoka hapo kwani serikali inajuwa jinsi ya kumtumia.

Sasa vijana endeleeni na matusi , sikuhizi mdude aneshashituka anapambana kudai haki kivyake maana anajuwa viongozi wa juu wa chama ni watu wa shekeli , wakilushiwa mfupa Wana kaa kimya wakinyimwa maneno huanza kwa kishindo.

Kesho ni tarehe 24/01/2024 DJ alitangaza lakini juweni hakuna maandamano hata yeye analijuwa

Tanzania hakuna upinzani mjuwe hivo upinzani uliopo NI geresha ili kule tunapopata misaada wajue tuna mfumo wa vyama vingi.
 
Wewe siasa za Tanzania zinakuhusu nini? Na mnaaza kushughulikiwa sasa kama mumefuata hifadhi hizi siasa zetu zinawahusu nini? CDF ameshaonyesha njia ngojeni sasa tuwawinge mkauliane kwenu.
 
2183704_IMG_1183.jpg
 
Wewe siasa za Tanzania zinakuhusu nini? Na mnaaza kushughulikiwa sasa kama mumefuata hifadhi hizi siasa zetu zinawahusu nini? CDF ameshaonyesha njia ngojeni sasa tuwawinge mkauliane kwenu.
Zinanihusu mkuu ndugu zangu wengi wapo huko
 
Vijana endeleeni kudanganywa na Mr.dj hata hayo maandamano aliyotangaza NI kiini macho kwa kuwa mpango huo hauwezekani anataka kuaminisha wafuasi kwamba NI mpambanaji kumbe nyuma ya pazia anapiga noti kupitia chama hicho.

Niliwahi kuwaambia kwamba mbowe siyo kiongozi wa upinzani isipokuwa NI kiongozi wa kivuli cha upinzani na mkitaka kuamini Hilo hata uenyekiti hatokuja kutoka hapo kwani serikali inajuwa jinsi ya kumtumia.

Sasa vijana endeleeni na matusi , sikuhizi mdude aneshashituka anapambana kudai haki kivyake maana anajuwa viongozi wa juu wa chama ni watu wa shekeli , wakilushiwa mfupa Wana kaa kimya wakinyimwa maneno huanza kwa kishindo.

Kesho ni tarehe 24/01/2024 DJ alitangaza lakini juweni hakuna maandamano hata yeye analijuwa

Tanzania hakuna upinzani mjuwe hivo upinzani uliopo NI geresha ili kule tunapopata misaada wajue tuna mfumo wa vyama vingi.
Wewe rudi Rwanda kwenu mkaendelee kutoana roho
 
Zamani niliamini kuna upinzani, ila baada ya kutuliza akili nikagundua kwamba Chama ni CCM ila hao wengine ni washangiliaji tu.

Tatizo wafuasi wa upinzani ni kama nyumbu tu. Hawachanganui mambo kwa kina!
 
Akili ilishageuzwa wao ni matusi Tu
 
Ungedili kwanza na kagame muua watu
 
Post ya kipuuzi tangu mwaka uanze
 
Tumewastukia watutsi
 
Zamani niliamini kuna upinzani, ila baada ya kutuliza akili nikagundua kwamba Chama ni CCM ila hao wengine ni washangiliaji tu.

Tatizo wafuasi wa upinzani ni kama nyumbu tu. Hawachanganui mambo kwa kina!
Ni kweli chama ni ccm, mwaka 2014 walituimbisha mashairi kama watoto wadogo kuhusu uchumi wa gas, na kuwa bomba la gas likifika tu Dar mgao utakuwa historia, na tatizo la umeme wa maji mabadiliko ni tabia nchi. Leo hii bomba la gas liko Dar miaka zaidi ya mitano, na mgao wa umeme ndio huu mkali ajabu.

Cha ajabu alipoingia Magufuli akasema anajikita kwenye umeme wa maji, wale waliokuwa wanasema umeme wa maji tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi nchi wakawa kimya! Leo hii wanaongea vitu vya ajabu, mara mgao wa umeme tatizo ni ukame, mara mvua hizi, kisingizio kimeisha tunaambiwa tusubiri bwawa la mwalimu Nyerere. Niendelee au niishie hapa?
 
Back
Top Bottom