Nawaombea baraka na neema za Mungu waandamanaji wote kesho Jan, 24

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,184
11,607
Mwenyezi Mungu Abariki Mawazo, Maneno na Matendo ya waandamanahi wote,
daima yawe ya ustaarabu, utulivu, ungwana, upendo na amani tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano yenyewe.

Wasiohusika wasibughudhiwe, wasiguswe, wasilazimishwe kushiriki maandamano, wasizomewe wala kudhulumiwa chochote kilicho chao.

Msimchokoze mtu, msimbeze wala kumdhihaki mtu yeyote kwa kelele au kwa namna yeyeote ile.

Nawaombea uadilifu na weledi walinzi wote wa amani watakaosimamia usalama tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano ili kila hatua iwe ni ya amani, uhuru, uwazi na haki.

Mungu awatie nguvu sana.

Mungu Ibariki Tanzania,

Mungu wabariki viongozi na wananchi wa Tanzania..
 
Mwenyezi Mungu Abariki Mawazo, Maneno na Matendo ya waandamanahi wote,
daima yawe ya ustaarabu, utulivu, ungwana, upendo na amani tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano yenyewe...

Wasiohusika wasibughudhiwe, wasiguswe, wasilazimishwe kushiriki maandamano, wasizomewe wala kudhulumiwa chochote kilicho chao...

Msimchokoze mtu, msimbeze wala kumdhihaki mtu yeyote kwa kelele au kwa namna yeyeote ile...

Nawaombea uadilifu na weledi walinzi wote wa amani watakaosimamia usalama tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano ili kila hatua iwe ni ya amani, uhuru, uwazi na haki....
Mungu awatie nguvu sana....

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu wabariki viongozi na wananchi wa Tanzania..
Wala usiwe na shaka. CHADEMA haijawahi kufanya maandamano au mkutano wa ghasia hata mara moja. Shida ipo CCM ambako yapo majitu yaliyobobea kwenye uaji na ushetani mwingine. Hayo mashetani yaliyomo CCM ndiyo yalimwua Akwilina, Mawazo na wengine wengi. Na bahati mbaya lile kiongozi la hao maharamia, safari hii limefanywa kuwa msemaji wa chama.
 
Sioni Dalili Zozote za kusema 'Eti' Kesho Kuna Maandamano...!

Yaani huku nilipo kupo bardiiii... Hivi CDM mpo Kweli...!

Mtamkumbuka Mwabukusi kwa Ile amsha amsha mkamdharau...!
 
Si mlisema mtapiga rungu waandamanaji?

Njoni muwapige na wawakilishi wa mabalozi sasa!!

Nyerere aliitumia UN kupata Uhuru wa Nchi yetu bila kumwaga Damu.

CCM lazima mtubu, muache kiburi,

Lazima mjue kuwa wananchi ndo source ya mamlaka ya viongozi.

Tusubiri.
 
Si mlisema mtapiga rungu waandamanaji?

Njoni muwapige na wawakilishi wa mabalozi sasa!!

Nyerere aliitumia UN kupata Uhuru wa Nchi yetu bila kumwaga Damu.

CCM lazima mtunu, muache kiburi,

Lazima mjue kuwa wananchi ndo source ya mamlaka ya viongozi.

Tusubiri.
nimewaombea baraka na neema za Mungu waandamanaji kesho, full stop...

hiyo ingine unatafuta siwezi ombea...
 
Sioni Dalili Zozote za kusema 'Eti' Kesho Kuna Maandamano...!

Yaani huku nilipo kupo bardiiii... Hivi CDM mpo Kweli...!

Mtamkumbuka Mwabukusi kwa Ile amsha amsha mkamdharau...!
Mwenyezi Mungu anyunyize amani miongoni mwa waandamanaji
 
TOBA lazima itangulie maombi.

Wewe mwana CCM umetubu Kwa UOVU mnaowatendea wananchi kabla ya kuombea waandamanaji?
kwahiyo natubu kwako 🤓

ndio maana toba na msamaha ni kwa Mungu, hukumu ya haki na adili ni kwake pekeee.....

ndio maana ikiwa hutaki baraka na neema za Mungu , za huyo mpinga Mungu unaemtumainia wewe siwezi mnyenyekea wala kumuomba chochote
 
Kwani maombi unaniomba Mimi?

So, ikiwa Umawaonbea waandamanaji Kwa Mungu,

Tanguliza TOBA kwanza, tubu Kwa UOVU mliowatendea Watanzania Kwa kuiba uchaguzi 2020.

Ukaimaliza TOBA ndipo Lete maombi.

Hiyo ni KANUNI.
 
unagomea baraka na neema za Mungu? Haya hiyo ni Juu yako ukiona inafaa sawa, ukiona kiburi ndio muhimu zaid,nakuhurumia 🤭

nakuombea Roho ya unyenyekevu na utii ndani mwako, Mwenyezi Mungu akuepushe na ukaidi,
Aimen...
 
Mwenyezi Mungu Abariki Mawazo, Maneno na Matendo ya waandamanahi wote,
daima yawe ya ustaarabu, utulivu, ungwana, upendo na amani tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano yenyewe...

Wasiohusika wasibughudhiwe, wasiguswe, wasilazimishwe kushiriki maandamano, wasizomewe wala kudhulumiwa chochote kilicho chao...

Msimchokoze mtu, msimbeze wala kumdhihaki mtu yeyote kwa kelele au kwa namna yeyeote ile...

Nawaombea uadilifu na weledi walinzi wote wa amani watakaosimamia usalama tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano ili kila hatua iwe ni ya amani, uhuru, uwazi na haki....
Mungu awatie nguvu sana....

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu wabariki viongozi na wananchi wa Tanzania..
Wewe ni miongoni mwa Mamluki duni uliyejiapiza kwamba hatutaandamana , haya leo kiko wapi ?

Kapuku we !
 
unagomea baraka na neema za Mungu? Haya hiyo ni Juu yako ukiona inafaa sawa, ukiona kiburi ndio muhimu zaid,nakuhurumia 🤭

nakuombea Roho ya unyenyekevu na utii ndani mwako, Mwenyezi Mungu akuepushe na ukaidi,
Aimen...
Wewe ni mnafiki,

Ulipinga maandamano ya HAKI na kuwaita waliodhamiria kuandamana Kwa Majina yote mabaya.

Umetubu lini Hadi uje kuwaombea Amani?
 
Mkuu wa mkoa alitaka kuleta style ya Magu, akaambiwa ipozee kidogo. hivyo maombi yako yametulia japo hukufuata kanuni ya kutubu ile lafu ya 2020. We mtu wa Mungu shusha sala ya kitubio, angalau kwa niaba ya mwenzio.
 
Back
Top Bottom