Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 397
- 993
Wakuu kwema?
Matukio mengi yanatokea kuelekea maandamano yaliyotangazwa tarehe 13 Januari 2024, maandamano yaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatano tarehe 24/1/2024 yakilenga kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni mwishoni mwa mwaka 2023.
Mpaka sasa ruti ya maandano hayo imetolewa huku watu mbalimbali wakijitokeza kuunga na kupinga maandamano hayo, lakini pia na serikali ilitangaza kufanya usafi tarehe 23 na 24/1/2024 ikigusa siku moja iliyopangwa kufanywa maandamano, CHADEMA nao wakajibu mapigo kuwa wataungana na serikali kwenye usafi huo, na matukio mengine kadha wa kadha yakiendelea kutokea.
Ili tusikose matuo yanayojiri mpaka siku ya maandamano hayo kufanyika, ni vizuri tukawa na uzi utakaokuwa na updates zote, Hivyo wakuu tutumie uzi huu kupeana updates ya matukio yanayojiri na kufatilia mwendo wake mpaka siku yaliyopangwa kufanyika.
Lissu awasili nchini kwaajili ya maandamano