Wakati anavamia na kuteka hatukunyooka, ndio iwe leo kawa Katibu mwenezi? Ni kichekesho!

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,812
218,468
Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?

Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na mbereko ya chuma ?

Ikiwa ataendelea kuzungumza ujinga majukwaani , tutafumua kila kitu humu , na tutafunguka kutekwa kwa MO , na tutalipua Malengo ya Hangaya kumpa hicho cheo .

Tuheshimiane

Screenshot_2024-01-23-13-18-47-1.png
 
View attachment 2880449
Huo unyama ulishawahi kuripoti polisi?
 
View: https://twitter.com/HecheJohn/status/1749743367913611616?t=HOHrT3DUZ_ff7lVSN92rlA&s=19
 
Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?

Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na mbereko ya chuma ?

Ikiwa ataendelea kuzungumza ujinga majukwaani , tutafumua kila kitu humu , na tutafunguka kutekwa kwa MO , na tutalipua Malengo ya Hangaya kumpa hicho cheo .

Tuheshimiane

View attachment 2880449
Paul Makonda ni mchumia tumbo
 
tutafumua kila kitu humu , na tutafunguka kutekwa kwa MO , na tutalipua Malengo ya Hangaya kumpa hicho cheo .

Tuheshimiane
Hii ni Chapa chapa dengu?

JF itafumuliwa na CHADEMA?

Kwanini mnaficha ya MO? Kwa hiyo yale aliyoyasema MO kwamba ndiyo yaliyotokea yalikuwa ni Uongo? MO ni muongo?

Inawasaidia nini CHADEMA kutofunguka kuhusu sakata lile?

Hii ndio kali zaidi, Mnamtishia Mwenyekiti wa CCM na Blackmail?

Kwani mkilipua malengo yake kitu gani kitatokea?

Ati CCM itaanguka? Sasa kama lengo la CHADEMA ni kuiangusha CCM na kushika Dola tatizo lipo wapi "Mkijilipua"

Nyodo zingine ,hatar tupu!
 
Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?

Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na mbereko ya chuma ?

Ikiwa ataendelea kuzungumza ujinga majukwaani , tutafumua kila kitu humu , na tutafunguka kutekwa kwa MO , na tutalipua Malengo ya Hangaya kumpa hicho cheo .

Tuheshimiane

View attachment 2880449
Very stupid. Embu pambana utafute pesa uyajenge maisha yako ya sasa na ya badae acha kukaa vijiweni na kupiga umbea. Huyo unaemchukia hata hakufahamu na hata huna impact yoyote kwake, ww kwake ni kama tone na mafuta baharini.
 
Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?

Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na mbereko ya chuma ?

Ikiwa ataendelea kuzungumza ujinga majukwaani , tutafumua kila kitu humu , na tutafunguka kutekwa kwa MO , na tutalipua Malengo ya Hangaya kumpa hicho cheo .

Tuheshimiane

View attachment 2880449
Nimesikia alivyoongea. Ni dharau na kebehi kwa Maza. Yaani bado wanaamini zama za Magufuli.
 
Back
Top Bottom