Yaliyojificha nyuma ya pazia maandamano ya CHADEMA Januari 24

Maryam Malya

Senior Member
Nov 29, 2021
115
258
Dr. Sisimizi

Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani kufanya vurugu Januari 24, 2024.

Kikao hicho kinachoendelea muda huu kinaongozwa na Katibu John Mnyika akiwa pamoja na Wenyeviti wa CHADEMA wilaya zote za Dar es salaam na Kata zake.

Moja ya ajenda yao ni kuhakikisha ni kwa namna gani Maandamano hayo yataanzisha vurugu kwa kuchoma matairi, kuharibu miundombinu ili kuzihadaa Jumuiya za Kimataifa ambazo walienda kuwaomba hela ili kuwezesha maandamano hayo, hivyo kiufupi wanataka kuhalalisha matumizi ya Milioni 500 walizopewa kwa ajili ya maandamano.

Moja ya wajumbe ambao wako ndani ya hicho kikao (Jina tumelihifadhi), alihoji kuwa hiyo sio Plan nzuri maana inaweza kupelekea Chadema kionekane Chama kisichofaa, Mjumbe huyo alitishiwa kuwa anyamaze na alipohoji kuhusu haki yake ya kuchangia kwenye kikao, Mwenyekiti wa kikao John Mnyika na Makamu Mwenyekiti Benson Kigaia aliamuru atolewe nje.

Watanzania wenzangu tuwe makini sana na hii siku inayoitwa ya Maandamano, maana si maandamano bali kilichopo nyuma yake ni kuhamasisha vurugu.

Mwisho niwaombe Jeshi la Polisi, ni kweli mmewaruhusu hawa watu wafanye maandamano ya amani, lakini wenzenu hawana nia ya amani wanalenga kuvuruga amani, hivyo tunaomba na nyinyi muwe macho kwenye kipindi hiki, kama mlikuo mnapumzika mchana, sasa msipumzike tena, wekeni watu wenu kila kona ya Dar es salaam, maana lolote linaweza kutmlikuo
 
Amani Golugwa, Katibu wa chadema kanda ya kaskazini, jana alionekana katika media ya chadema ya kanda hiyo akijigamba kwamba wamekodi vikosi vitatu vya wamasai kwa ajili ya kufanya vurugu na kupambana na Polisi
 
Dr. Sisimizi

Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani kufanya vurugu Januari 24, 2024...
HUU NAO NI UOnGO WA AINA YAKE.

TUKUE SASA NA KUACHA SIASA ZA KUDANG"ANYA WATU.

VURUGU ZITOKE WAPI.........
 
Dr. Sisimizi

Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani kufanya vurugu Januari 24, 2024...
Kwa hiyo,huyo mjumbe ni wewe au anawasiliana na wewe akiwa kikaoni?Unaogopa maandamano au unaogopa moto wa matairi?Hopeless chap!
 
Dr. Sisimizi

Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani kufanya vurugu Januari 24, 2024...

Wewe bila shaka umetoroka matibabu hospitali ile ya vichaa. Kurudi hospitali na kuvumilia kukaa huko mpaka muda wa matibabu uishe, ina msaada mkubwa sana kwako kuliko kuyakimbia matibabu.

Tafadhali rudi hospitalini. Na usiandike chochote JF kwa sababu JF ni kwaajili ya walio wazima wa akili.
 
Amani Golugwa, Katibu wa chadema kanda ya kaskazini, jana alionekana katika media ya chadema ya kanda hiyo akijigamba kwamba wamekodi vikosi vitatu vya wamasai kwa ajili ya kufanya vurugu na kupambana na Polisi
Wewe nawe ni punguani? Ina maana huna uwezo hata wa kuelewa kinachosemwa?

Walinzi wa kimasai ni kwaajili ya ulinzi wa maandamano kuhakikisha watu kama ninyi ambao akili hazipo sawa, msitumie nafasi hiyo kuleta fujo ili ionekane waandamanaji ndio walioleta vurugu.

Chama kinatakiwa kuwa na ulinzi wake binafsi kuhakikisha hakichafuliwi. Na polisi nao watatoa ulinzi.
 
Dr. Sisimizi

Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani kufanya vurugu Januari 24, 2024...
Wewe unayaongea hayo kama nani? 😂 Kwanin unatunga uongo ili upate faida gani yani. Kwa taarifa yako wavunja amani sikuzote ni wale wanaoona kuwa wengine hawana haki ya ku exist na kufanya mambo kama raia wengine. Just fill the Puzzle!
 
😎😎yangu macho tu jana nimepichana nao bamaga wako na msafara pambe hivyo sikuwatilia maanani nikaenda zangu
 
Dr. Sisimizi

Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani kufanya vurugu Januari 24, 2024.

Kikao hicho kinachoendelea muda huu kinaongozwa na Katibu John Mnyika akiwa pamoja na Wenyeviti wa CHADEMA wilaya zote za Dar es salaam na Kata zake.

Moja ya ajenda yao ni kuhakikisha ni kwa namna gani Maandamano hayo yataanzisha vurugu kwa kuchoma matairi, kuharibu miundombinu ili kuzihadaa Jumuiya za Kimataifa ambazo walienda kuwaomba hela ili kuwezesha maandamano hayo, hivyo kiufupi wanataka kuhalalisha matumizi ya Milioni 500 walizopewa kwa ajili ya maandamano.

Moja ya wajumbe ambao wako ndani ya hicho kikao (Jina tumelihifadhi), alihoji kuwa hiyo sio Plan nzuri maana inaweza kupelekea Chadema kionekane Chama kisichofaa, Mjumbe huyo alitishiwa kuwa anyamaze na alipohoji kuhusu haki yake ya kuchangia kwenye kikao, Mwenyekiti wa kikao John Mnyika na Makamu Mwenyekiti Benson Kigaia aliamuru atolewe nje.

Watanzania wenzangu tuwe makini sana na hii siku inayoitwa ya Maandamano, maana si maandamano bali kilichopo nyuma yake ni kuhamasisha vurugu.

Mwisho niwaombe Jeshi la Polisi, ni kweli mmewaruhusu hawa watu wafanye maandamano ya amani, lakini wenzenu hawana nia ya amani wanalenga kuvuruga amani, hivyo tunaomba na nyinyi muwe macho kwenye kipindi hiki, kama mlikuo mnapumzika mchana, sasa msipumzike tena, wekeni watu wenu kila kona ya Dar es salaam, maana lolote linaweza kutmlikuo
Muuza k umbea ndiyo kazi yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom