Maandamano yamefanikiwa ila lengo halikutimia

FbUser

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
431
626
Nadhani hawatapiga tena mkwara wa kuandamana. Faida ya maandamano ya upinzani ni uyatangaze halafu yakataliwe ili muanzishe MTITI na gavamenti sojaaz. MTITI unafaida sana ukipeleka picha za kuzinguliwa na virungu kwa wazungu.Sasa unaomba unakubaliwa fasta huku ni kupunguzana nguvu.. gavamenti kill Chadema slouly.
Kifupi maandamano yamefanikiwa ila lengo halikufanikiwa. Safari ijayo waombe maandamano na waongeze kipengele cha kupitia Lugalo mlango wa mbele kukita bendera na kutokea mlango wa nyuma

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ulitaka fujo ili iweje!!?

CCM imetuandalia kizazi Cha ajabu sana!yaani mwanaccm anaona upinzani kama nyoka anaestahili kuuawa sio !!?kwanini!!?

So sad!

Leo nimelipa luku ya umeme sh 5000/= nimeambulia unit 2.8 halafu Kuna mtu anakataa maandamano ya chadema!!

Hasta Mimi mwanaccm naumia na ujinga was maamuzi ya mwenyekiti na co!!

Asanteni chadema bila kujali itikadi!!
 
Nadhani hawatapiga tena mkwara wa kuandamana. Faida ya maandamano ya upinzani ni uyatangaze halafu yakataliwe ili muanzishe MTITI na gavamenti sojaaz. MTITI unafaida sana ukipeleka picha za kuzinguliwa na virungu kwa wazungu.Sasa unaomba unakubaliwa fasta huku ni kupunguzana nguvu.. gavamenti kill Chadema slouly.
Kifupi maandamano yamefanikiwa ila lengo halikufanikiwa. Safari ijayo waombe maandamano na waongeze kipengele cha kupitia Lugalo mlango wa mbele kukita bendera na kutokea mlango wa nyuma

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
UMESAHAU KUWEKA NAMBA. Nakukumbusha tu
 
Upeo mdogo huwaza kwa namna hii
 
M'amae mnanung'unika kama mtoto aliyebemendwa
 
Huna akili , maandamano yalikua pale pale hata wangefanya nini
 
Nadhani hawatapiga tena mkwara wa kuandamana. Faida ya maandamano ya upinzani ni uyatangaze halafu yakataliwe ili muanzishe MTITI na gavamenti sojaaz. MTITI unafaida sana ukipeleka picha za kuzinguliwa na virungu kwa wazungu.Sasa unaomba unakubaliwa fasta huku ni kupunguzana nguvu.. gavamenti kill Chadema slouly.
Kifupi maandamano yamefanikiwa ila lengo halikufanikiwa. Safari ijayo waombe maandamano na waongeze kipengele cha kupitia Lugalo mlango wa mbele kukita bendera na kutokea mlango wa nyuma

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Naona wewe ni kati ya wakimbizi haramu
 
We shambenga hebu tulia. Mlitamani kinyume chake, lakini maandamano yalifana, na siku zote police huwa mnawatuma kuhujumu wapinzani ndio huanzisha fujo. Leo maandamano yamekuwa ya amani maana polisi ambao huwa mnawatuma kama maboya wametumia akili zao.
 
Back
Top Bottom