15 January 2024
Amesema siku hiyo kama kuna watu watajibadilisha kuwa takataka watabebwa.
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ATANGAZA SHUGHULI NYINGI ZA WAZI ZA UMMA ZITAKAZO WATINGA WATENDAJI WOTE HADI MWISHO WA MWEZI
View: https://m.youtube.com/watch?v=i-7HQxxRbbQ
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam RC Albert Chalamila ametangaza mbele ya wakuu wa wilaya za mkoa wa Dar es Salaam jinsi mkoa ulivyojipanga huku diary / shajara imejaa matukio muhimu ambayo mkoa ilshajipangia
Alipoulizwa kuhusu maandamano, RC Chalamila asema yeye hana taarifa ya kuwepo maandamano maana mambo hayo yanamuhusu ACP Jumanne Muliro kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa yeye mkuu wa mkoa hajapewa taarifa hivyo hafahamu suala hilo.

- Usafi wa jiji
- Tutakusanya kina mama wote waliozaliwa tarehe 27 kama mheshimiwa Rais
- Waalimu nao watakuwa na maadhimisho ya siku ya elimu
- Shughuli ya kupokea na kugawa vitendea vya kufanya usafi
- Clouds Media na Azam Media kuanza kushiriki katika shughuli hiyo ya kuhamasisha matukio hayo muhimu ndani ya mkoa
- N.k