Wapeni Uraia wakimbizi wa Burundi na Congo

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Ushauri kwa serikali kama kuna wakimbizi wamekaa zaidi ya miaka 5 wapewe Uraia tena bila masharti ili waanze kuchangia kwenye maendeleo badala ya kuwekwa kwenye makambi.

Ni kitu cha kawaida kuwa na Watanzania waliozaliwa nchi nyingine na tayari kuna watoto wamezaliwa Tanzania na wamekuwa kwenye jamii na wanazungumza Kiswahili.

Badala ya kupoteza muda mwingi tuwape Uraia na kuweka utaratibu maalumu wa wakimbizi wapya. Nchi ya Tanzania ni kubwa sana hatuna haja ya kurudisha hawa watu kwao wakati wanaweza kuwa nguvu kazi ya Tanzania.

Tuna maeneo makubwa sana na hawa wakimbizi wanatuza maeneo kuliko hata wamasai wetu. Wapewe Uraia na tuache ubaguzi wa aina yeyote. Kama kuna mtu mtoto wa mkimbizi ameenda kwa system yetu mpaka akawa waziri haina shida maana yeye ni Mtanzania kuliko alivyo mkongo au Mrundi.

Mbona tuna diaspora wengi tu nchi nyinginena kama hizo nchi za Ulaya wameweza kuchukuwa Wakongo kuna shida gani tena kwa sisi ndugu?
 
mnaanza kufumuka mlipojificha

Mimi Mpare na Mchagga sasa tumejificha wapi!. Ukichunguza hata mimi binafsi wapare ndiyo hao hao wateveta wa kenya sasa tukianza kuchunguza kila mtu kuna damu ya nchi nyingine. Kama watu wamekaa kwenye jamii kwa muda wapewe Uraia
 
Wakimbizi wamekuja wapewe hifadhi kukiwa na amani walikotoka warudi wakaendelee na maisha yao huko tena na wale walio jichomeka kwenye mfumo watafutwe wachomolewe na wahojiwe vizuri kwa nini wakajiingiza huko na wakati sio raia na ikiwezekana watakao watilia mashaka weka ndani kabisa,

kwa maneno aliyo ongea CDF hili swala lipaswa kuchunguzwa upya kuanzia wanapoingia nchini wanavyo ishi hadi kuondoka kurudi kwao asiwepo hata mmoja wa kutoroka kule
 
Mbona tuwekee mazingira mazuri ya kuishi na foreigners mbona Uganda Kuna mataifa mengi wamejazana na wananchngo mkubwa kabisa kwenye uchumi wakupewa uraia apewe wa kua kitaa wapunguziwe Kodi za kuishi tz ikituvutia nchi nying zaid
 
ili upewe uraia inabidi ukae miaka 50
 
Mbona tuwekee mazingira mazuri ya kuishi na foreigners mbona Uganda Kuna mataifa mengi wamejazana na wananchngo mkubwa kabisa kwenye uchumi wakupewa uraia apewe wa kua kitaa wapunguziwe Kodi za kuishi tz ikituvutia nchi nying zaid

unaijia uganda vizuri
 
Ushauri kwa serikali kama kuna wakimbizi wamekaa zaidi ya miaka 5 wapewe Uraia tena bila masharti ili waanze kuchangia kwenye maendeleo badala ya kuwekwa kwenye makambi.

Ni kitu cha kawaida kuwa na Watanzania waliozaliwa nchi nyingine na tayari kuna watoto wamezaliwa Tanzania na wamekuwa kwenye jamii na wanazungumza Kiswahili.

Badala ya kupoteza muda mwingi tuwape Uraia na kuweka utaratibu maalumu wa wakimbizi wapya. Nchi ya Tanzania ni kubwa sana hatuna haja ya kurudisha hawa watu kwao wakati wanaweza kuwa nguvu kazi ya Tanzania.

Tuna maeneo makubwa sana na hawa wakimbizi wanatuza maeneo kuliko hata wamasai wetu. Wapewe Uraia na tuache ubaguzi wa aina yeyote. Kama kuna mtu mtoto wa mkimbizi ameenda kwa system yetu mpaka akawa waziri haina shida maana yeye ni Mtanzania kuliko alivyo mkongo au Mrundi.

Mbona tuna diaspora wengi tu nchi nyinginena kama hizo nchi za Ulaya wameweza kuchukuwa Wakongo kuna shida gani tena kwa sisi ndugu?

Hatutaki

kama mkongo fungua bendi anza kukata kiuno
Mrundi kafanye kazi mashambani hurusi kumili ardhi
Mtusi kafuge ng’ombe usililie ardhi wala madaraka
 
Wakimbizi wamekuja wapewe hifadhi kukiwa na amani walikotoka warudi wakaendelee na maisha yao huko tena na wale walio jichomeka kwenye mfumo watafutwe wachomolewe na wahojiwe vizuri kwa nini wakajiingiza huko na wakati sio raia na ikiwezekana watakao watilia mashaka weka ndani kabisa,

kwa maneno aliyo ongea CDF hili swala lipaswa kuchunguzwa upya kuanzia wanapoingia nchini wanavyo ishi hadi kuondoka kurudi kwao asiwepo hata mmoja wa kutoroka kule
Wanatoroka wanaolewa na kuoa huku kwetu
 
Mimi Mpare na Mchagga sasa tumejificha wapi!. Ukichunguza hata mimi binafsi wapare ndiyo hao hao wateveta wa kenya sasa tukianza kuchunguza kila mtu kuna damu ya nchi nyingine. Kama watu wamekaa kwenye jamii kwa muda wapewe Uraia
Tangu lini mwizi akasema mimi ni mwizi. Mtakuja wote tunawahesabu tu. Fuateni utaratibu mpate uraia
 
Kama watu wamekaa miaka mingi kama wakimbizi na wengine wamezaliwa Tanzania ni ujinga kuwarudisha sehemu nchi ambazo hawana hata makazi eti kwasababu ya kuzaliwa tu. Unaweza ukawa Mtanzania hata kama haujazaliwa Tanzania lakini umekuja kivita. Kuna wasomali wengi sana Kenya na wanasaidia kiuchumi kikubwa ni kuwawezesha.
 
Back
Top Bottom