Mbona wamesharuhusiwa na KATIBA? au utawala wa Kifashisti ndio bado umo kwenye kumbukumbu zako?Habari JF , hivi nini kitatokea CDM wakiruhusiwa waandamane ?
Wakalipe mikopo hukoHakuna wa kufanya maandamano hapa nchini.View attachment 2876655View attachment 2876656View attachment 2876658
Njooni muwapige virungu na mabalozi kama mlivyozoea kumpiga Mdude.Habari JF , hivi nini kitatokea CDM wakiruhusiwa waandamane ?
Mbona ni kama maisha yataendelea hawata kuwa na madhara yoyote na Rais Samia atapata points za kuwa mwana demokrasia .
Binafsi sioni haja ya Polisi kutumia nguvu waachwe tu .
nakuhakikishia maandamano yakiruhusiwa, hakuna shida yeyote itakayotokea. hakuna wizi, hakuna fujo wala chochote, hata zikitokea fujo jua polisi ndio wamefanya ili ionekane maandamano yanaleta fujo. mbona nchi nyingi tu watu wanafanya maandamano na hakuan shida? wanachoogopa, kizmkazi atashuka sana popularity, hicho ndio wanaogopa na ni kweli kitatokea. wananchi wataamka na kujiandaa kumpeleka zenji mwaka kesho.Habari JF , hivi nini kitatokea CDM wakiruhusiwa waandamane ?
Mbona ni kama maisha yataendelea hawata kuwa na madhara yoyote na Rais Samia atapata points za kuwa mwana demokrasia .
Binafsi sioni haja ya Polisi kutumia nguvu waachwe tu .
Naunga mkono hoja, Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni IkuluHabari JF , hivi nini kitatokea CDM wakiruhusiwa waandamane ?
Mbona ni kama maisha yataendelea hawata kuwa na madhara yoyote na Rais Samia atapata points za kuwa mwana demokrasia .
Binafsi sioni haja ya Polisi kutumia nguvu waachwe tu .
Ccm itapinga MAHAKAMANIHabari JF , hivi nini kitatokea CDM wakiruhusiwa waandamane ?
Mbona ni kama maisha yataendelea hawata kuwa na madhara yoyote na Rais Samia atapata points za kuwa mwana demokrasia .
Binafsi sioni haja ya Polisi kutumia nguvu waachwe tu .
Yakiruhusiwa hata ng'ombe kuku wata andamana mana na wao wamechoshwa na shida zilizopo mana kama binadamu tu anakosa maji na umeme ije kuwa wanyama???nakuhakikishia maandamano yakiruhusiwa, hakuna shida yeyote itakayotokea. hakuna wizi, hakuna fujo wala chochote, hata zikitokea fujo jua polisi ndio wamefanya ili ionekane maandamano yanaleta fujo. mbona nchi nyingi tu watu wanafanya maandamano na hakuan shida? wanachoogopa, kizmkazi atashuka sana popularity, hicho ndio wanaogopa na ni kweli kitatokea. wananchi wataamka na kujiandaa kumpeleka zenji mwaka kesho.
Naona maandamano hapo😀Hakuna wa kufanya maandamano hapa nchini.View attachment 2876655View attachment 2876656View attachment 2876658
Patam hapoNjooni muwapige virungu na mabalozi kama mlivyozoea kumpiga Mdude.
Tusubiri.
Na kama madai ya wanaccm wengi kuwa kwa sasa Chadema imekwisha na hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuwaunga mkono, kuwaacha wafanye maandamano yao wakajikuta wapo wenyewe tu ingekuwa njia nzuri sana ya kuwamaliza. Kutumia mitutu ya bunduki na mabomu ya machozi ni kuwapa kiki kuwa CCM inawaogopa. Nakumbuka wakati wa maandamano ya Zanzibar Jaji Warioba alitoa ushauri kwa dola kuwa waacheni waandamane,wapeni ulinzi wateme nyongo zao jioni kila mtu atarudi nyumbani kulala na mkewe hadithi itaishia hapo. Lakini kiburi cha CCM na dola wakawapiga ,wakawaumiza na kuwaua na kilichotokea baada ya hapo kila mtu anakumbuka,taswira ya nchi ilichafuka sana. Waachwe waandamane jioni watarudi makwao maisha yataendelea.
Kwani nchi ni ya mama yako?!!Hakuna wa kufanya maandamano hapa nchini.View attachment 2876655View attachment 2876656View attachment 2876658