Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,432
- 4,222
Kama ni mfuatiliaji mitandao ya kijamii hasa u tube utanikubalia kuwa Zama zimebadirika.
System ime benefit kwa muda mrefu kutokana na ujinga wa jamii tuliyonayo
Kwenye mitandao ya kijamii watanzania wamekuwa kaa la Moto. Akili zilizoko huko ndani ndo zinezaa matunda mahsusi ya haya tunayoyaona.
Naamini kuna mambo ambayo hata jeshi la polisi lilikuwa likifanya kutokana na ukosefu wa elimu.
Kwenye u tube, Maria space nk kuna vichwa ambayo vikikaa kujadiri haya mambo serikali yenyewe nadhani inabaki na home work.
Sauti ya watanzania na vikundi vingine vmeleta mapinduzi makubwa mpaka hapa tulipofika.
Jinsi wanavyotafakari haki za raia, consequences kwa serikali kutofata sheria, elimu kwa ujumla ya uraia ni Jambo la kujivunia dunia kuwa kijiji ndo maana kwa sasa polisi wanajichekeshachekesha kwani kwa sasa hawana namna bali kujubali mabadiriko.
Hongera Chadema kwa Ku pave the way.
Mungu awabariki.