Mwl. Japhet Maganga: Wakurugenzi waendelee kusimamia Uchaguzi Mkuu mwaka 2025

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,308
24,200
MAONI MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MASUALA YA UTAWALA, SHERIA NA KATIBA

6 January 2024
Katibu Mkuu chama cha walimu (CWT) Mwl. Japhet Maganga ashauri ma- DED waendelee kusimamia Uchaguzi Mkuu mwaka 2025

Wakurugenzi wa wilaya DED wapigiwa debe kuwa wana wanaishi huko wilayani na wana Ufahamu wa jiografia, utamaduni wa wakazi na rasilimali fedha pia watu
Mwalimu Japhet Maganga na wadau wengine wa Usawa wa Kijisia, vyama vidogo vya siasa, asasi kadhaa za kiraia, makundi ya vijana n.k wanazungumza kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo Jumamosi, Januari 6, 2024 wakati ambapo Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia masuala ya Utawala, Sheria na Katiba inaendelea kupokea maoni ya wadau mbalimbali kuhusu miswada ya sheria mbalimbali ikiwemo inayohusu uchaguzi.

Wadau mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu wa Chama cha walimu Tanzania (CWT) Mwalimu Japhet Maganga ambaye ameshauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendelea kuwatumia Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2025, huku uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ukiendelea kusimamiwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) pamoja na wadau wengine wakitoa maoni yao.

Wadau wanaopendekeza wasisitiza wakurugenzi wa halmashauri za wilaya ma-DED kuendelea kusimamia uchaguzi, wasema ma-DED ndiyo wanaelewa hali halisi katika jiografia wilayani, tamaduni za wakazi wa maeneo pia wana rasilimali fedha na mamia ya waalimu ambao hutumika kufanikisha mchakato mzima wa uchaguzi mkuu.

Wadau hawa wanazungumza kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo Jumamosi, Januari 6, 2024 wakati ambapo Bunge linaendelea kupokea maoni ya wadau mbalimbali kuhusu miswada ya sheria mbalimbali ikiwemo inayohusu uchaguzi.

Naye mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya utawala, sheria na katiba, mheshimiwa Dkt. Joseph Kizito Mhagama (Mbunge CCM) aliwapa miongozo ya jinsi ya wadau kuwasilisha maoni yao.

Mwenyekiti huyo wa Kamati ya Kudumu ya bunge amewaomba wadau hao 367 kuwa wavumilivu kusikiliza hoja za makundi mbalimbali hata kama vinakinzana kwani zoezi hilo la kusikiliza maoni ni kwa ajili ya kuboresha, kuweka mapya au kuondoa baadhi ya mambo yaliyowakilishwa ktk miswada muhimu.

Nia ni kupata kitu kitachosaidia kamati ya bunge na bunge kufanya maamuzi yamayozingatia umma mpana wa Tanzania unataka mabadiliko gani ktk miswada kadhaa ikiyowakilishwa bungeni.
 
Ili waendelee kuiba kura asitimuliwe Cwt ?

Wamepigiwa chapuo wakurugenzi kiasi ya kuwa inatia shaka sababu ya ma-DED kusifiwa kuwa wanauwezo wa kuendesha uchaguzi mkuu, wadau wamesahau yaliyotokea 2019 na pia 2020.
kwa kweli historia yenye mifano hai imetupwa mbali na wadau leo tarehe 6 Januaru 2024.
 
Aliyekuwa mgombea asimulia vikwazo vya kugombea ndani ya uchaguzi katika mfumo wa uchaguzi wa sasa ulitumika chaguzi za mwaka 2015 na 2020:

6 January 2024

Katibu wa (CHADEMA) Kanda ya Kati, Emmanuel Masonga akiwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge masuala ya utawala, sheria na katiba

View: https://m.youtube.com/watch?v=zMmLA1j_Dqw
Emmanuel Masonga katibu wa chama (CHADEMA) kanda ya Kati, amelishauri Bunge kufuta kifungu cha 102 (c) cha Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023 chenye maneno "iwapo fomu za matokeo zipo za kutosha" kifutwe ili wasimamizi wa uchaguzi wasiwanyime wagombea fomu za matokeo kwa kisingizio cha kutokuwa na fomu za kutosha huu wakilindwa na sheria.

Masonga ameyasema hayo leo Jumamosi, Januari 6, 2024 wakati akitoa maoni yake kwenye miswada mbalimbali ambapo amesema kumekuwa na kasumba ya baadhi ya wasimamizi wa uchaguzi kutumia mwanya huo kuwanyima baadhi ya wagombea fomu za matokeo.
 
Anajipendrkexaaa mpuuzi huyu hapo alipo hatakiwi kuwepo walimu wenzake wala serikalii sasa anajikomba kwa watawala, labda saanaa angeongelea matumizi walimu kwenye uvhaguziii sio DeD kwani hamlimhusu kabisaaa.
 
Anataka asamehewe na deep state but kwa hili tutaendelea kumkaanga tu maana ameonyesha namna alivyo mweupe kochwani na ambavyo ana nia njema na Tanzania ya keaho.
Chawa kama hizi hazifai kuongoza taasisi za vyama maan hashindwi kugeuka.mwisho mtu kama huyu anatakiwa alaaaniwe na watu wote ambao wana akili timamu
 
MAONI MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MASUALA YA UTAWALA, SHERIA NA KATIBA

6 January 2024
Katibu Mkuu chama cha walimu (CWT) Mwl. Japhet Maganga ashauri ma- DED waendelee kusimamia Uchaguzi Mkuu mwaka 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=I3RC9WBcx0w
Source : mwananchi digital

Mwalimu Japhet Maganga na wadau wengine wa Usawa wa Kijisia, vyama vidogo vya siasa, asasi kadhaa za kiraia, makundi ya vijana n.k wanazungumza kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo Jumamosi, Januari 6, 2024 wakati ambapo Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia masuala ya Utawala, Sheria na Katiba inaendelea kupokea maoni ya wadau mbalimbali kuhusu miswada ya sheria mbalimbali ikiwemo inayohusu uchaguzi.

Wadau mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu wa Chama cha walimu Tanzania (CWT) Mwalimu Japhet Maganga ambaye ameshauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendelea kuwatumia Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2025, huku uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ukiendelea kusimamiwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) pamoja na wadau wengine wakitoa maoni yao.

Wadau wanaopendekeza wasisitiza wakurugenzi wa halmashauri za wilaya ma-DED kuendelea kusimamia uchaguzi, wasema ma-DED ndiyo wanaelewa hali halisi katika jiografia wilayani, tamaduni za wakazi wa maeneo pia wana rasilimali fedha na mamia ya waalimu ambao hutumika kufanikisha mchakato mzima wa uchaguzi mkuu.

Wadau hawa wanazungumza kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo Jumamosi, Januari 6, 2024 wakati ambapo Bunge linaendelea kupokea maoni ya wadau mbalimbali kuhusu miswada ya sheria mbalimbali ikiwemo inayohusu uchaguzi.

Naye mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya utawala, sheria na katiba, mheshimiwa Dkt. Joseph Kizito Mhagama (Mbunge CCM) aliwapa miongozo ya jinsi ya wadau kuwasilisha maoni yao.

Mwenyekiti huyo wa Kamati ya Kudumu ya bunge amewaomba wadau hao 367 kuwa wavumilivu kusikiliza hoja za makundi mbalimbali hata kama vinakinzana kwani zoezi hilo la kusikiliza maoni ni kwa ajili ya kuboresha, kuweka mapya au kuondoa baadhi ya mambo yaliyowakilishwa ktk miswada muhimu.

Nia ni kupata kitu kitachosaidia kamati ya bunge na bunge kufanya maamuzi yamayozingatia umma mpana wa Tanzania unataka mabadiliko gani ktk miswada kadhaa ikiyowakilishwa bungeni.

Kama hoja ni kujua jiografia ya maeneo basi Wenyeviti wa vyama katika maeneo husika ndiyo wasimamie maana wengi Huwa wanakuwa wazawa wa maeneo husika tofauti na DED na timu yake amabao ni wa kuja kwa mapenzi ya Mwenyeheri na Mpakwa mafuta Samia Suluhu Hasan.
Huyo Maganga aache upuuzi,kila taasisi ifanye kazi kwa mujibu wa sheria,NEC kazi yao ni kuendesha zoezi la uchaguzi na DED kazi yake ni kusimamia shughuli za maendeleo katika Wilaya.Kila mtu ashinde mechi yake!
 
🤣🤣🤣🤣Jamaa mwalimu wa primari
Mshahara mdogo kaona cwt Kuna ulaji
Aende akaongeze elimu,la Saba halilipi saivi ,utaishia kuwa chawa🤣
Anyways hata Wenye nchi walifeli form foo,Sasa usome vya nn?🤣🤣🤣
Kwa Taarifa yako jamaa anayo degree ya UDSM -2011.

Kaa hapo ukingoja miujiza.
 
Shida ya watanzania inapofika suala la maamuzi tunawaogopa watawala. Mmeletewa mswada wa Tume Huru, baadala mmpeleke maoni ya kujifanya Tume iwe huru bado mnalazimisha Tume iwe na sifa ya Tume ya zamani. Kisa tu kuwafurahisha watawala.
 
MAONI MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MASUALA YA UTAWALA, SHERIA NA KATIBA

6 January 2024
Katibu Mkuu chama cha walimu (CWT) Mwl. Japhet Maganga ashauri ma- DED waendelee kusimamia Uchaguzi Mkuu mwaka 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=I3RC9WBcx0w
Source : mwananchi digital

Mwalimu Japhet Maganga na wadau wengine wa Usawa wa Kijisia, vyama vidogo vya siasa, asasi kadhaa za kiraia, makundi ya vijana n.k wanazungumza kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo Jumamosi, Januari 6, 2024 wakati ambapo Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia masuala ya Utawala, Sheria na Katiba inaendelea kupokea maoni ya wadau mbalimbali kuhusu miswada ya sheria mbalimbali ikiwemo inayohusu uchaguzi.

Wadau mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu wa Chama cha walimu Tanzania (CWT) Mwalimu Japhet Maganga ambaye ameshauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendelea kuwatumia Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2025, huku uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ukiendelea kusimamiwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) pamoja na wadau wengine wakitoa maoni yao.

Wadau wanaopendekeza wasisitiza wakurugenzi wa halmashauri za wilaya ma-DED kuendelea kusimamia uchaguzi, wasema ma-DED ndiyo wanaelewa hali halisi katika jiografia wilayani, tamaduni za wakazi wa maeneo pia wana rasilimali fedha na mamia ya waalimu ambao hutumika kufanikisha mchakato mzima wa uchaguzi mkuu.

Wadau hawa wanazungumza kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo Jumamosi, Januari 6, 2024 wakati ambapo Bunge linaendelea kupokea maoni ya wadau mbalimbali kuhusu miswada ya sheria mbalimbali ikiwemo inayohusu uchaguzi.

Naye mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya utawala, sheria na katiba, mheshimiwa Dkt. Joseph Kizito Mhagama (Mbunge CCM) aliwapa miongozo ya jinsi ya wadau kuwasilisha maoni yao.

Mwenyekiti huyo wa Kamati ya Kudumu ya bunge amewaomba wadau hao 367 kuwa wavumilivu kusikiliza hoja za makundi mbalimbali hata kama vinakinzana kwani zoezi hilo la kusikiliza maoni ni kwa ajili ya kuboresha, kuweka mapya au kuondoa baadhi ya mambo yaliyowakilishwa ktk miswada muhimu.

Nia ni kupata kitu kitachosaidia kamati ya bunge na bunge kufanya maamuzi yamayozingatia umma mpana wa Tanzania unataka mabadiliko gani ktk miswada kadhaa ikiyowakilishwa bungeni.

Mtu kama huyu kwa nini asiuwawe?
 
Kwa Taarifa yako jamaa anayo degree ya UDSM -2011.

Kaa hapo ukingoja miujiza.
🤣🤣🤣Fom foo felia Nina jalada lake ,pamoja na Mwalimu alawi wa kibaha picha ya ndege🙏amejenga apartment pale mwendapole,hawatoboi🤣🤣🙏🙏imeishaa hiyo
 
Back
Top Bottom