Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
Nawapongeza Namibia Kwa kuziba Pengo la ombwe la madaraka punde tuu baada ya kifo Cha Rais Huge na hivyo Kuzuia ombwe la madaraka na sintofahamu.ππ...
Nimejaribu kuilipa NSSF kupitia app za NBC na CRDB banks lakini zote zinagoma.
Nimejaribu kuingia Tausi portal ,inazunguka tu.
Ni mimi tu au kuna mwingine kaliona hili?
Nakumbuka Maneno yake pale madhabahuni alisema " Najua tunaiendea Kwaresma nawaomba Sana msiache Kufunga na Kuomba mimi sitaweza kufunga ila naomba mniombee"
Mungu wa Mbinguni endelea kumtunza...
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
Ndio maana sisi wengine hatushiriki hata kwenye misiba yao. Kama aliyekuwa anafanya ukatili huu alishakufa na kuzikwa , kwanini hawa waliopo wanaacha haya yaendelee?
Ikumbukwe kwamba huyu kijana...
Wakati wananchi tunahangaika kupata mahitaji yetu muhimu mh. Kinana anahangaikia kura za uchaguzi mdogo wa mwaka huu!
Kwake nchi na wananchi hawana matatizo yoyote ya mahitaji yao ya kila siku...
Moja kwa moja fungua Clip. Anasema Mwanasheria Mkuu Ushauri wake ni kupoteza raslimali fedha tu.
Halafu wananchi kumfuata Makonda ni udhalilishaji wa wananchi.
Kuna baadhi ya viongozi wa mikoa, Wilaya na Halmashauri wameanza kuwaita watumishi wa umma kwenye kumbi za Halmashauri wakiwemo wabunge wanaomaliza muda wao 2025
Taarifa za kutoka Halmashauri...
Nadhani kuna haja ya vyama pinzani kujifunza sana kutokaa kwa chama tawalaa ili wawe na mafanikio makubwa mbeleni.
Mfano, nimekutana na wamama wa hali ya chini kabisa wanakimbia wakiwahi mkutano...
"Unapaswa kufanya vizuri kwa ajili Watanzania, wanastahili kilicho bora. Wanastahili mfumo wa haki unaofanya kazi, wanastahili mahakama huru, wanastahili mahakama itakayolinda katiba, wanastahili...
Nimemsikia Kinana kila jambo hata lililowekwa kisheria anasema Mhe. Rais kafanya.....naomba wataalam wa sheria watusaidie; Ruzuku ya vyama vya siasa utolewa na Rais? Kwa sheria gani inayompa rais...
BASATA MSAMEHENI NEY WA MITEGO HAJUI MAMBO MENGI NI WA KUELIMISHWA.
Na Thadei Ole Mushi.
Tuanze na Mstari upi kwenye amkeni? ngoja tuanze na huuππ»ππ»ππ»ππ»
β Hata ripoti ya CAG hakuna...
Tanzania kwa miaka kama saba hivi spika na Jaji Mkuu ni sehemu ya msafara wa Rais. Kila anapokuwa Rais lazima spika awepo pembeni na Jaji Mkuu. Utatu huu mtakatifu unawezaje kutekeleza dhana ya...
Kwema Wakuu!
Sijui anatumia uchawi gani.
Sijui anatumia mbinu gani za kimedani.
Lakini huyu jamaa kwa sasa hakuna mwanasiasa yoyote ambaye anamsogelea kwa umaarufu hata kwa kilometa mia moja...
Ni ajabu Sana
Sifa Kuu ya Tume Huru ya Uchaguzi ni Watendaji wake wakuu kupatikana kwa njia Huru, ya Wazi na isiyoegemea upande wowote
Na ndivyo bunge letu tukufu limebadilisha mfumo mzima wa...
"Nimesikia Bunge limeridhia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) sasa iitwe Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NFEC). Yaani kuongeza neno HURU kumeleta uhuru wa Tume. Kazi Iendelee. Lakini?" Askofu Dkt...
Mchoraji mkuu wa siasa za ushindi wa CCM kwa sasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 sio mwingine bali ni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Afande Abdulaman Kinana! Sijui ni...
Viongozi wakuu wa SADC wamekutana kwa dharura kujadili Kipindupindu. Ninapenda kufahamu kipindupindu ni agenda ya head of states au ilitakiwa kuwa chini ya wataalam wa Afya?
Kwamba na umaskini...
Wanajamvi, Jana Kuna taarifa zilisambaa sana za kumtaka Rais Samia kutumia birthday yake Kumsaidia kada wa chama chake Thadei Ole Mushi aliyesimama moyo kufanya kazi.
Taarifa hizi zilisambazwa na...