Watumishi wa umma waanza kuitwa kwenye kumbi za Halmashauri?,Je unadhani ni mkakati wa nini huu

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Kuna baadhi ya viongozi wa mikoa, Wilaya na Halmashauri wameanza kuwaita watumishi wa umma kwenye kumbi za Halmashauri wakiwemo wabunge wanaomaliza muda wao 2025

Taarifa za kutoka Halmashauri mbalimbali kuna taarifa za watumishi wa umma kuitwa kwa ajili ya kupewa maelekezo

Vipi mdau unadhani watakuwa wanaenda kupewa maelekezo gani?
 
Chadema kuweni na amani, ni maelekezo ya kuzidi kupata ufanisi kazini mwao 😎
 
Kuna baadhi ya viongozi wa mikoa, Wilaya na Halmashauri wameanza kuwaita watumishi wa umma kwenye kumbi za Halmashauri wakiwemo wabunge wanaomaliza muda wao 2025

Taarifa za kutoka Halmashauri mbalimbali kuna taarifa za watumishi wa umma kuitwa kwa ajili ya kupewa maelekezo

Vipi mdau unadhani watakuwa wanaenda kupewa maelekezo gani?
Maandalizi ya wizi wa kura
 
Wanaitwa na nani na Halmashauri gani hiyo?
Check hiyo
Screenshot_20240204-190938.jpg
 
Ngoja nisubiri nione kama na Mimi nitaitwa na halmashauri ya kichwa changu
 
2024~Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Tanzania
2025~Uchaguzi Mkuu Tanzania

kula Ccm Kulala Chadema, By Jiwe
 
Back
Top Bottom