Ndani ya Masaa 24 Baada ya Tangazo la Kifo Cha Rais huko Namibia,VP aapishwa kuwa Rais.Kwa nini Tanzania kulikuwa na Kujivuta vuta?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,128
49,863
Binafsi sijui Kwa sababu hata hao Namibia inasemekana Katiba Yao walisaidiwa na Tzn kuiseti ,Sasa wao wameweza why ilikuwa vile Kwa Tzn?
Hii siri kuna siku saa 100 atasema yooote.....yule CDF hawezi sema sio mwanasiasa ila huyu bibie atasema......acha tuendelee kula pop corn....tutajua tu....Dr Bashiru aliutaka Urahisi ikaweje.......tutajuaa
 
Ni kweli maana siku Ile na kikao Cha CDF aligusia gusia kwamba walikuwa wanahoji eti itakuwaje amiri Jeshi Mkuu kuwa Mwanamke.

Kuna siku atakuja kumwaga mboga na ugali hadharani.
 
Ni kweli maana siku Ile na kikao Cha CDF aligusia gusia kwamba walikuwa wanahoji eti itakuwaje amiri Jeshi Mkuu kuwa Mwanamke.

Kuna siku atakuja kumwaga mboga na ugali hadharani.
Tena sio muda mrefu...Bashiru akampangia ziara Tanga...huku wakachota pesa ndegu za matibabu....wakati mtu ameshalala......fungu liende kwa wakuu ulinzi na usalama ili wakipindya meza wa support....CDF aligoma.......na akaamuru watanzaniavwatangaziiwe haraka.....Geshi likamfuata mama...kutenga sehemu kutangazia....na kuchukua jukumu la ulinzi wake kurudi Dar kesho yake haraka sanaaa.....walimlinda hadi kuapishwa...week kadhaa ndio wakawapa PSU....bila hivyo Dr Bashiru anfepindua nchi na Katiba......ipo siku tutajya yote
 
Back
Top Bottom