Fatuma Karume: Watanzania wanastahili Mahakama itakayolinda Katiba. Tuache michezo ya kukandamizana

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
"Unapaswa kufanya vizuri kwa ajili Watanzania, wanastahili kilicho bora. Wanastahili mfumo wa haki unaofanya kazi, wanastahili mahakama huru, wanastahili mahakama itakayolinda katiba, wanastahili mahakama itakayolinda haki zao za msingi.

"Hivi ndivyo Watanzania wanavyostahili, tuwape hicho. Tuache michezo ya kukandamizana, sasa hivi tunakandamiza wanasheria, kwa nini? Tuwape Watanzania mfumo wa haki unaofanya kazi." - Fatuma Karume

 
Kwamba bashite ni wazir asiye na wizara maalum. Yaani anaingia kotekote
Anamsafara wa gari 500 kidogo
 
Back
Top Bottom