Nadhani kuna haja ya vyama pinzani kujifunza sana kutokaa kwa chama tawalaa ili wawe na mafanikio makubwa mbeleni.
Mfano, nimekutana na wamama wa hali ya chini kabisa wanakimbia wakiwahi mkutano wa chama huku wameshika bendera, nadhani achilia mbali msukumo wanaoupataa kutokaa kwa viongoz wao.
Nadhani wana mapenzi na chama chao. Nadhani ni bora kuachana na watu hawa wanao tumia smartphone, halafu wanatudanganyaa ni wanachama kindakindaki, matokeo yakee ikifikaa wakati wa mikutano ya chamaa hawaendi kusikilizaa viongozi wao, wanakaa masebuleni kwao nakuanzaa kuangalia picha za mkutano mtandaoni.
Hiyo huwa inaendaa mpaka kipindi cha uchaguzi. Nadhani ni boraa kuanzia kwenye shinaa. Tujenge mifumo ya kuwafikia watu wa hali ya chini kabisaa, na hii inawezekana kwa viongozi kuanzaa kutengenezaa mtandao mrefu na unaoaminika kwa watu mpaka kwa mabalozi wa nyumba kumi.