kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,329
- 12,626
Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip).
Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima akazoe Dola zao kwenye mabenki watakapogeuka kuwa mazombi kama anavyosema Gwajima kuwa chanjo hizi zitageuza watu kuwa mazombi.
Ni vema Gwajima akatumia demokrasia yake kukataa kuchangiwa kama yeye badala ya kushawishi waumini wake wakatae kuchanjwa. Anasahau kuwa waumini wake ni watanzania. Enzi za JPM mtu anaepingana na maagizo na mipango ya serikali angeshakamatwa au kutumbuliwa kama ni mtumishi.
Gwajima anapima kina Cha maji kwa miguu yake.
Tanzania ikiacha kuchanja itageuka kisiwa, Kuna siku dunia itakuja na maazimio ya asiyechanja asipewe VISA, asipande ndege, asiingie kwao, asiwauzie bidhaa zao, wasiende nchi ambayo Kuna maambukizi (hawakuchanja).