Chama kina nguvu kuliko Serikali, hizo ndizo siasa za nchi yetu na za kikomunisti

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,016
12,304
Kwa wale wote wanao shangaa maigizo ya makonda kukaripia viongozi wa kiserikali wanapaswa kufuatilia na kujifunza asili ya siasa zetu.

Baada ya ziara ya Mwalimu Nyerere uchina na Tanzania kupitia mabadiliko makubwa ya kisiasa na kuanza kufuata siasa za kijamaa.

Katika mabadiliko hayo nguvu ya kiserikali na mambo yote nchini yalikuwa chini ya chama.

Nguvu ya viongozi wa kiserikali inategemeana na nguvu waliyo nayo ndani ya chama na wala sio serikalini.

Mfano nchi ya kikomunisti Vietnam Rais wake Von Van Thuong hana nguvu yoyote ya kimaamuzi mbele ya katibu mkuu wa chama cha kikomunisti cha kivietnam bwana Nguyen Phu Trong.

Chama cha kikomunisti cha Vietnam power structure yao inaanzia kwa Katibu mkuu wa chama hawana cheo cha mwenyekiti wa chama kama hapa Tanzania.

Turudi Tanzania nguvu kubwa ya Samia Rais wa Tz ipo kwenye cheo chake cha mwenyekiti wa chama na wala sio cha urais.

CCM walipitia mabadiliko na kuamua mtu akiwa Rais basi moja kwa moja lazima awe mwenyekiti wa chama ili kuondoa migongano baina ya mwenyekiti wa chama na Rais.

China nao walipitia mabadiliko ya namna hiyo baada ya position ya katibu mkuu wa chama kutokuwa na ukomo wa muda ili walazimu na position ya Urais kuondolewa ukomo wa muda ili yasije kutokea ya migongano baina ya katibu mkuu wa chama na Rais.

Madaraka ndani ya utawala wa Tanzania yana anzia ndani ya chama kabla ya serikali.
 
Mfano waziri wa ulinzi wa China hana nguvu mbele ya makamu mwenyekiti wa kamati ya kijeshi ya kamati kuu ya chama
 
CCM WOTE WAMEOZA NI MIZOGA WANAJITEKENYA WENYEWE NA KUCHEKA WENYEWE HAWAAMINIKI
 
Ilibidi kupata katiba mpya kabla ya kuingia kwenye vyama vingi
Yes tunahitaji mabadiliko separation of power baina ya serikali na chama iwepo sio hiki kinacho endelea.

Nchi yetu ni party dictatorship haina tofauti na hao Vietnam, China, Cuba utofauti uliopo dhidi ya Rwanda, Uganda ni kuwa wale ni one man dictatorship.

Chama kime dominate siasa za nchi kwenye kila eneo hapa nchini
 
Mfano mwengine Deng Xiaoping hakuwahi kuwa Rais wa China ila ndie alikuwa supreme leader wa China kipindi chote cha utawala wake hii ni kutokana na nguvu alivyokuwa nao ndani ya chama chao cha kikomunisti
 
Yaani chama kina nguvu sana Aisee..

Karibu au Mwenyekiti wa CCM Wilaya anamuelekeza Mkurugenzi au DC lkn Mkurugenzi au DC hana ubavu wa kufanya hivyo
 
Ndio sababu wengine tunaona mchakato wa katiba mpya ni kupoteza muda. Watu wanapelekaga michango huko isiyo na kichwa wala miguu.

Kuna ugumu gani wa kutambua Makonda hana mamlaka ya kumuamuru mtumishi wa ngazi yeyote serikalini.

Katiba na sheria ndio zinatoa mamlaka ya uongozi wa kila mtu kwenye nchi yeyote serikalini.

Sasa ni wapi kwenye katiba ya Tanzania inatambua viongozi wa CCM au chama chochote nyadhifa zao serikalini.

Kuangaika na upuuzi wa CCM jinsi wanavyofanya mambo yao na kwenyewe ni kupoteza muda.

Mzizi wa Makonda kuwa na mikwara uchwara zinatokana na mamlaka ya raisi kwenye teuzi. Akiwa kama mwenyekiti wa chama na raisi anateua kila mtu.

Toa nguvu za raisi kwenye teuzi za civil servants kiholela, senior police officers, majaji wa mahakama na jeshi; halafu uone huko mbele kama kuna mtu ataangaika na katibu mkuu wa CCM sijui mwenezi and other nonsense.
 
Kwa mtizamo upi hana mamlaka?!, au kwa kwa hulks na kutokujua kwako ndiko makonda ana kosa mamlaka?!. Mtateseka sana na makonda.
 
Kwa wale wote wanao shangaa maigizo ya makonda kukaripia viongozi wa kiserikali wanapaswa kufuatilia na kujifunza asili ya siasa zetu.

Baada ya ziara ya Mwalimu Nyerere uchina na Tanzania kupitia mabadiliko makubwa ya kisiasa na kuanza kufuata siasa za kijamaa.

Katika mabadiliko hayo nguvu ya kiserikali na mambo yote nchini yalikuwa chini ya chama.

Nguvu ya viongozi wa kiserikali inategemeana na nguvu waliyo nayo ndani ya chama na wala sio serikalini.

Mfano nchi ya kikomunisti Vietnam Rais wake Von Van Thuong hana nguvu yoyote ya kimaamuzi mbele ya katibu mkuu wa chama cha kikomunisti cha kivietnam bwana Nguyen Phu Trong.

Chama cha kikomunisti cha Vietnam power structure yao inaanzia kwa Katibu mkuu wa chama hawana cheo cha mwenyekiti wa chama kama hapa Tanzania.

Turudi Tanzania nguvu kubwa ya Samia Rais wa Tz ipo kwenye cheo chake cha mwenyekiti wa chama na wala sio cha urais.

CCM walipitia mabadiliko na kuamua mtu akiwa Rais basi moja kwa moja lazima awe mwenyekiti wa chama ili kuondoa migongano baina ya mwenyekiti wa chama na Rais.

China nao walipitia mabadiliko ya namna hiyo baada ya position ya katibu mkuu wa chama kutokuwa na ukomo wa muda ili walazimu na position ya Urais kuondolewa ukomo wa muda ili yasije kutokea ya migongano baina ya katibu mkuu wa chama na Rais.

Madaraka ndani ya utawala wa Tanzania yana anzia ndani ya chama kabla ya serikali.
Kuna watu watajifanya hawajaelewa.
 
Tofautisheni ulimbukeni na ucommunist. Enzi ya Nyerere tulikuwa na chama kimmoja cha siasa ambacho kwa kuiga siasa za kidictetor ilidaiwa kimeshika hatamu. It was okay kwa kiasi fulani kwa kipindi hicho. Kwa sasa nchi ni ya vyama vingi vya siasa. Ni ulimbukeni tu ulioasisiwa na kukomazwa na mwendazake serikali kuwa chini ya chama. Wenye akili wanaelewa tulipo na tunakoelekea, kuna siku nguvu ya umma itakataa upuuzi unaofanywa na viongozi wa CCM.
 
Siku zote imekuwa hivyo toka wakati wa Mwalimu JKN mpaka sasa na katika awamu zote.

Awamu zote serikali ipo chini ya chama hakuna awamu imebadilika hili
 
Hakuna shida kwenye chama. Matatizo yanasababishwa na ubinafsi wa wachache waloaminiwa na kukosa utu na kutokua na hofu ya Mungu.
 
Kwa mtizamo upi hana mamlaka?!, au kwa kwa hulks na kutokujua kwako ndiko makonda ana kosa mamlaka?!. Mtateseka sana na makonda.
Shida yetu Watanzania ni kudhani nchi inaongozwa sawa na kanuni/taratibu zetu za vikundi vya mtaani.

Nchi inaongozwa na katiba ndio inayowapa watu mamlaka na maelezo wataongoza vipi na hizo nafasi zinapatikana vipi.

Sasa usidhani wataalamu wakianza ku-draft hiyo katiba na wenyewe wanajiwekea articles kama vile walivyokuwa wakipokea michango kwenye hatua za maoni.

Katiba za nyingi za nchi zina-cover mambo makuu manne (bearing their ideological view point along the way).

Mambo manne muhimu ni: ‘Preambles’, ‘taasisi za serikali/uongozi’ (na muundo wake), ‘Bill of wrights’ na ‘amendment procedures za katiba’.

Sitozungumzia mambo yote hayo ila ‘preambles’ hiyo ndio inakueleza taasisi gani kwenye nchi zina mamlaka na namna nchi itakavyoongozwa.

Kwa katiba ya Tanzania preamble ni ‘sehemu ya kwanza’ ya katiba na kuhusu kuongozwa specifically ni article 4 (Utekelezaji wa shughuli za mamlaka ya nchi) soma hiko kifungu halafu useme ni sehemu gani chama cha siasa kimetajwa kama ni taasisi ya uongozi wa nchi ndani ya katiba.

CCM bado wanajifanyia mambo kama zama za chama kimoja, wakati hayo mambo yameshafutwa kwenye katiba.

If anything ukiisoma na kuilewa katiba aina shida vile isipokuwa mamlaka ya raisi (well labda na mambo ya muungano kwa wanaodhani una shida).

Vinginevyo hakuna kiongozi wa chama cha siasa asie na nafasi serikalini mwenye uwezo wa hata kumuamuru mwenyekiti wa mtaa kwa mujibu wa katiba.
 
Siku zote imekuwa hivyo toka wakati wa Mwalimu JKN mpaka sasa na katika awamu zote.

Awamu zote serikali ipo chini ya chama hakuna awamu imebadilika hili
Hapana, haipaswi kuwa hivyo. Serikali inapaswa kuwahudumia wananchi wote bila kujali itikadi zao za kisiasa. Watumishi wa umma wanapaswa kutojihusisha na shughuli za kisiasa japo kila mmoja anaweza kuwa na mapenzi na chama fulani nk.

Hii inayofanywa na CCM hasa tangu kipindi cha Mwendazake ni uwendawazimu na ulimbukeni wa madaraka. Mf. Kumteua DED toka kwenye majukwaa ya kiasa, unadhani atatoa huduma sawa kwa wale wasio na mapenzi na chama chake? Ilifika wakati JPM anawahaidi rushwa ya vyeo kwenye campaign wale wote aliowaengua kwenye kura za maoni.

Yanayofanywa na Makonda ni muendelezo wa drama za enzi ya Magufuli. Hana uwezo wa kumwajibisha waziri au mtumishi yoyote wa umma. Kwa nchi ya mfumo wa vyama vingi hakuna chama kushika hatamu.
 
Back
Top Bottom