Mbona serikali imekua kimya kuhusu umeme?

Mbona serikali imekua kimya kuhusu umeme??Jee ni nan wa kututoa hapa kwenye huu mkwamo turipo kwa sasa?
Tanzania Hakuna Mkwamo Wowote Kwenye Umeme, Unachotakiwa Kujua Ni Mambo Ya Hujuma Tu Yanaendelea Kuhakikisha SGR Inakufa Kibudu
Kuna Mdau Muda Mrefu Alisema e~GA Inakwenda Kufa Kwa Maslahi Ya Wachache



Kazi Imeanza Wanapokwa Majukumu Hadharani Sasa
 
Mbona serikali imekua kimya kuhusu umeme?Je, ni nani wa kututoa hapa kwenye huu mkwamo tulipo kwa sasa?
Maadam birthday ime kwisha sasa tuta sikia kauli ya mwajiriwa wetu namba moja.
Maana sasa kwa mwenendo huu ni aibu kwa taifa na Ccm kwa ujumla wake
 
Mbona serikali imekua kimya kuhusu umeme?Je, ni nani wa kututoa hapa kwenye huu mkwamo tulipo kwa sasa?
Serikali yetu haiwezi ikawa na uchungu na watu wake, kwasababu wao hawaoni shida ya umeme wao wana majenereta yanafanya kazi muda wote na mafuta ya kuziendesha jenereta ni ya umma siyo ya kununua pesa zao.Tunataka tuwe na tume huru ya kuchaguwa viongozi,tunawo wataka tukipata shida kama hii ya umeme tuwe tunamuuliza kiongozi tuliyomchaguwa siyo hawo tunao letewa.maana hata kama ukimuuliza atakwambia kuwa haujanichagua wewe
 
Tunamalizia Birthday kwanza hapa kizimkazi, mambo ya umeme mtajua wenyewe,
Kwanza kwetu viongozi haukatiki, pambaneni na Hali zenu,
Viongozi wazito wana ATS automatic standby generator ziko full tank. Yaani umeme ukikatika hiyo generator inajiwasha automatic ndani ya sekunde chache.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom