Mbunge Mwita Waitara, acha kutumia ulaghai kwaajili ya kujitengenezea njia kueleka uchaguzi Mkuu

Zabron Hamis

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
6,515
10,425
Kwanza kabisa nitangulize samahani kwa wale nitakowakwaza kwa uandishi mbovu. Mimi sio mwandishi na leo ni mara ya kwanza kabisa kuandika katika jukwaa hili la siasa.

Mwita Waitara ni mbunge wa jimbo la Tarime vijijini na hii ni baada ya kuunga juhudi kutoka CDM (Ukonga) na mwaka 2020 aligombea kupitia CCM.

Mbunge huyu kama walivyokuwa wabunge wengine waliopitishwa kwa nguvu ilhali asilimia kubwa ya Wananchi hawakuwachagua. Kwahili sina uhakika nalo bali nazungumza hv kutokana na mazingira ya uchaguzi wenyewe.

Mnamo mwaka 2023, katika kikao cha madiwani wa halmashauri, alitoa pendekezo likiwa ni ombi kwenda kwa madiwani wa kata zenye vijiji vinavyouzunguka mgodi wa Nyamongo kuhusu fedha za CSR zinazotolewa na mgodi ikiwa ni sehemu ya kujenga mahusiano na kusaidia kuchangia miradi ya maendeleo katika jamii. Jumla ya vijiji 11 vinavyozunguka mgodi, hupata fedha hii kila baada ya kipindi fulani (mwaka) na kwa mwaka jana jumla ya bilioni 9 ziliidhinishwa na uongozi wa mgodi ili kuchangia mradi ya maendeleo ambapo kila kijiji kingelipata takribani Tsh 800 milioni.

Ombi la mbunge lilikua ni fedha hizo kugawiwa walau vijiji vingine katika halmashauri na madiwani kwa pamoja wakakubali kwamba, asilimia 30 badala ya 40 ambazo mbunge aliomba. Basi ikapitishwa kwamba sio vibaya kugawana lakini vijiji vinavyoathiriwa mojakwamoja na shughuli za mgodi vichukue sehemu kubwa na kwasababu ya umoja kama watanzania, sehemu hiyo (30%) iende kusaidia maendeleo kwa halmashauri kwenye vijiji vingine. Hili lilikuwa ni ombi na halina ulazima wa kukubaliwa, lakini waungwana (madiwani) walilipitisha.

Maajabu ni kwamba, baada ya kikao hicho, madiwani walipewa taarifa kwamba badala ya 30%, lazima vijiji 11 vikubali kupokea 40% na 60% inayobaki iende kwenye vijiji vingine. Baada ya ufuqtiliaji wa kina, imegundulika kwamba mbunge kwa kutumia nguvu aliyonayo jimboni, ndiye aliyetoa amri hiyo wakishirikiana na nwenyekiti wa chama wilaya. Ambapo baada ya ufuatiliaji na madiwani kukataa pendekzo hilo, baadi ya viongoz wa vijiji wamesimamishwa kujihusisha na suala hilo na diwani mmojawao amepewa onyo kwa utovu wa nidhamu.

Ikumbukwe kwamba, shughuli za uchimbaji zinaathiri mazingira ya vijiji hivi 11 na CSR ni kwaajili ya eneo linalokuwa na mwekezaji. Madiwani walikuwa na uwezo wa kumkatalia mbunge lakini hawakufanya hivyo, na sasa mbunge anatumia mwanya huo kupenyeza ushawishi wake katika fedha husika.

Ipo audio clip ambayo mbunge akiwa kwenye moja ya kijiji akihutubia, aliwaambia atahakikisha fedha za mgodi zinawafikia na wao (si waathiriwa). Na anafanya hivi ili kuongeza ushawishi katika vijiji hivyo ambavyo vinao wakazi wengi wanaoweza kumpitisha kwenye sanduku la kura lakini anaacha maumivu kwa vijiji vinavyoathirika na shughuli za mgodi.

Mgodi umekuwa ukichangia maendeleo kuanzia ngazi ya vijiji hadi Taifa. Je si busara kila mmoja kuridhika na kiasi anachopokea? Mashimo na athari za kiafya wanazobaki nazo wakazi wa maeneo lengwa (vijiji 11) ni ipi faida watakayoipata wananchi hao ikiwa fedha zao zinagawawiwa kama zawadi maeneo ambayo hata mauaji ya mgodini hayajawahi kuwakumba? Vijiji 11 vimekuwa vikishuhudia madhara makubwa ya mgodi hadi mengine kuplekea vifo kwa mamia ya raia. Barabara zilikuwa zikikarabatiwa kila baada ya miezi 6 lakini serikali kupitia halmashauri ya wilaya wakapendekeza wapewe fedha hiyo kazi watakuwa wakiifanya wao. Matokeo yake barabara za mitaa hazitamaniki na barabara kuu ya Tarime - Serengeti imekuwa ni mashimo kuliko hata barabara za maeneo ambayo hayna vitega uchumi.

Wananchi wa vijiji wamedhulumiwa fedha zao baada ya serikali kuingilia kati mchakato wa utathmini wa maeneo maarufu kama tegesha ambapo hasara waliyoipata haielezeki. Wapo watu walizuiwa kuendeleza maeneo yao kwa muda wa zaidi ya miaka mitano hata zile za uzalishaji mfano kilimo. Mwisho wanaambulia kifuta jasho cha aslimia 10 ha 17. Yote haya Waitara hakuona yana umuhimu kuyasemea, yeye ameona fedha pekee.

Mioyo yetu ina maumivu makubwa sisi kama raia ambao tunajua baada ya miaka 20 au 30, maeneo yetu yatakuwa na mashimo makubwa ambayo hayatafunikwa na watu watakuwa wameathiriwa na sumu zinazotirirshwa kwenye vyanzo vya maji. Halafu kuna mtu mmoja mwenye taamaa ya madaraka ameketi sehemu akipigia mahesabu fedha ambayo mlengwa ni mwananchi mwathiriwa.
 
hauna uelewa wa sheria mpya ya madini inayohusisha CSR.
vijiji/mitaa inayozunguka mgodi kuanzia 2024 watakuwa wanapokea 40 percent ya bajeti tengwa. vijiji/mitaa mingine watagawana 60 percent iliyobaki.
 
Lakini hata na hivyo,
nadhani bado fedha hizo zinaenda kwa wanainchi.

Naomba urilax na acha chuki binafsi dhidi ya mh.mbunge....
 
Pamoja na kwamba Waitara ni miongoni mwa wabunge wabovu hapa nchini, lakini kwa hili hapana. Ni sahihi kabisa kama hivyo vijiji viliachiwa 40% na fedha nyingine ikaete maendeleo kwenye vijiji vingine.
 
Back
Top Bottom