Upinzani upo upo tu, CCM imejisahau sana

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Katika kipindi ambacho upinzani ungetakiwa kua na nguvu na kujiimarisha ni kipindi hiki ambacho Mafisadi waneongezeka kwa kasi kubwa baada ya Chuma cha Chato kulala.

Ushahidi na Maneno ya Dkt Kigwangala kwamba kuna watu wananunua majumba ya gharama kubwa Osterbay na Dubai.

Upinzani wetu umekenua meno tu hatuoni amsha amsha kama hawapo vile, maisha yamekuwa ya gharama kubwa kwa kila kitu. Tumelilia na tozo za simu hilo likaachwa na limezoeleka, hali mbaya ya kukatika kwa umeme nchi mzima pamoja na mvua kunyesha hadi mafurika yanajaza maji majumbani achana na mito na maziwa.

UPINZANI HAWANA AJENDA AU HAWAJUI NINI WANAFANYA?
Ripoti ya CAG ambayo inaonesha inchi inatafunwa haitoshi kua ajenda? Mabilioni yaliyopotea kwa uthibitisho wa CAG siyo agenda?

Kuna vikundi hewa ambavyo inasemekana vya UVCCM badala ya wananchi wa kawaida vimekopa mabilioni mengi, Vyura tu vinatunzwa kwa mabilioni, TTCL kuna deni hewa zaidi ya billion 12, ndege za ATCL zimepaki zinapoteza zaidi ya bilion 20.
Hivi zote hizo siyo Ajenda ni nini?

Ndiyo maana kuna watu wanasema kuitoa CCM madarakani ni wanaccm wenyewe vsiyo wapiga kelele hawa wanaojiita upinzani.

IMG-20240128-WA0044.jpg
 
Wewe acha kulaumu.watoto.wa.watu!

Ufisadi uliopo umelelewa na Dola ya jamhuri ya muungano was Tanzania!!
Mbona hawalei mambo mengine kama kutembea na silaha za moto Kila saa!!?

Au kumrushia mawe kiongozi mkubwa!!?

Ufisadi umelelewa na dola!ingekua ufisadi hautakiwi na dola bas usingekiepo!

Tumeamua kuulea ufisadi Kwa kutumia vyombo vyetu vya dola!kama Dola isingetaka ufisadi Wala usingekuepo kabisa!!
 
Back
Top Bottom