Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio...
Pambano limekuwa moto sasa CCM ikiwa na point nyingi za ushindi wakati Serikali ikiwa na Hali mbaya sana, tuwaamue au tuwaache watoane ngeu? Kazi inayofanya Makonda ilitakiwa ifanywe na wapinzani...
Sisi wananchi Watanzania kwa kauli moja tunasema" Tunapenda tuendelee kuishi hivi hivi miaka yote"
Maisha ya sasa tunayoishi bila umeme wa uhakika wala maji ndio maishi bora kwetu.
Huo umeme...
Nawasalimu Kwa Jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa hivi nilivyo nashukuru.
Mimi nimekuwa miongoni mwa watu ambao nimezaliwa nikajikuta nina moyo...
Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni
Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya...
Naunga mkono wazo hoja ya Gwajima.
Ni ujinga kuiga Kila kitu kutoka Ulaya.Robots zimegunduliwa Ulaya na USA Kwa lengi la kukabiliana na uhaba wa Nguvu kazi.
Sasa hapa Tanzania nilisikia...
Kama ilivyokuwa kwa Tundu Lisu 2020 naye mpinzani mkuu wa Putin huko Russia ameambiwa Fomu yake hajaijaza sawasawa hivyo akajaze Upya.
Trump naye japo Wamarekani wengi wanampenda bado anafanyiwa...
Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhe Eng Ezra John Chiwelesa mapema Leo Feb 08, 2024 akichangia Bungeni amenukuu maneno kutoka katika Biblia Takatifu yanayompa binadamu mamlaka ya kutawala viumbe...
So my question is? Kwann watu wanakusanyika anapokuwa Makonda?
Maana yake,anachokifanya Makonda wangekuwa wameshafanya ma DC, RC, wakurugenzi, mawaziri, manaibu waziri, jero nyingi zingekuwa...
Awamu ya 5,ukimtoa marehemu Rais Magufuli,hakuna mtu mwingine aliweza kumgusa Makonda.Alikiwa anaogopwa kushinda VP na PM.
Awamu ya 6, Ukimtoa Rais Samia, hakuna Kiongozi mwingine anaogopwa kama...
Leo tarehe 20 Mei 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan ataongoza uzinduzi rasmi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa JMT na watumishi wengine...
Mimi kwa kweli nimechoka kabisa. Wakati wote ninafanya kazi kwa bidii, nalipa kodi zote, lakini kila mwaka kuna matatizo, yaani tangu tupate uhuru. Vitabu vya historia vinaonesha matatizo tu...
Asichokijua Mbunge ni kwamba Picha ya Rais inabeba maana pana katika mambo mtambuka ya Nchi
Kuanzia awamu ya Mkapa Shilingi yetu haitambi huko Duniani
Vitu vingine ni kutumia common sense tu...
Nikiri tu mwanzo sikumuelewa ndugu Makonda, lakini sasa namuelewa kuliko anavyojielewa. Kwa heshima ya chama na mimi kipara kipya na wanachama wa CCM wote wenye mapenzi mema na nchi na Rais na...
Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu.
BoT fanyeni haraka wazo hili.
===
Mhe...
Kwa tulicheza mgambo, sungusungu, scout n.k lazima tufundishwe kasomo kadogo kanaitwa Chain of command.
Mdogo hupokea amri kwa mkubwa huku mkubwa na kutekeleza huku mkubwa akiendelea kuwa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea rasmi Rais wa Jamhuri ya Poland Mhe. Andrzej Duda Ikulu jujini Dar es Salaam leo tarehe 09 Februari, 2024
''Poland imekuwa...
Makonda bado ni kijana mdogo na bado hana utashi uliokamilika, bado anafanya mambo kwa kufuata hulka, hisia za kiujana na kutegemea watu wanamwona vipi.
Hulka hizi hutumika sana na wakubwa...
Simiyu: Makatibu Kata Mkoa wa Simiyu Wakabidhiwa Vitabu vya Kanuni za CCM
MJUMBE wa Mkutano Mkuu Taifa (MNEC), kutoka Mkoa wa Simiyu, Gungu Silanga amekabidhi vitabu vya kanuni za Chama Cha...
https://www.youtube.com/watch?v=st-YFWzMvWQ
RAIS SAMIA: UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema haki, demokrasia, sheria na...