Vita inayoendelea baina ya CCM na Serikali imekuwa nzito sana! Tuwaamue au tuwaache watoane ngeu?

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Pambano limekuwa moto sasa CCM ikiwa na point nyingi za ushindi wakati Serikali ikiwa na Hali mbaya sana, tuwaamue au tuwaache watoane ngeu? Kazi inayofanya Makonda ilitakiwa ifanywe na wapinzani lakini sasa wapinzani hata hawajui wafanye nini!

Maana adui zetu wameamua kupigana wao kwa wao, nadhani ni kwa sababu wamekosa mpambano halisi kutoka upinzani, sasa makonda anafanya kama haijui kabisa Serikali 'yaani Serikali inaanza kuiogopa CCM! CCM sasa ina meno ya kuweza kuichanachana Serikali. Asante Makonda tutawaamua endapo mmoja atatoka damu.
 
Wewe ni mgeni wa siasa za CCM ukikaribia uchaguzi mkuu? Anachokifanya Makonda wamewahi kukifanya Kinana na Nape tena kwa ufanisi zaidi.

Vita baina ya CCM na Serikali ni kama mume na mke, wanajuana na watamalizana wenyewe.
Zaidi ni mchezo tu wamepanga wenyewe kucheza na akili zetu, msiotafakari kwa kina mnaingia kwenye mtego.
 
Alisema mwalimu Nyerere

Nanukuu,
"Chama legelege huzaa serikali legelege "

Mwisho wa kunukuu....
 
WPambano limekuwa moto sasa CCM ikiwa na point nyingi za ushindi wakati Serikali ikiwa na Hali mbaya sana, tuwaamue au tuwaache watoane ngeu? Kazi inayofanya Makonda ilitakiwa ifanywe na wapinzani lakini sasa wapinzani hata hawajui wafanye nini!

Maana adui zetu wameamua kupigana wao kwa wao, nadhani ni kwa sababu wamekosa mpambano halisi kutoka upinzani, sasa makonda anafanya kama haijui kabisa Serikali 'yaani Serikali inaanza kuiogopa CCM! CCM sasa ina meno ya kuweza kuichanachana Serikali. Asante Makonda tutawaamua endapo mmoja atatoka damu.
Wacha iendelee kunyesha tujue panapovuja. Makonda apewe pia ripoti ua CAG
 
"KAZI ANAYOIFANYA MAKONDA ILIPASWA KUFANYA NA UPINZANI". Hivi wapinzani wanaweza kuwaita wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,wakurugenzi wa halimashauri,RPCs na watendaji wengine wa serikali kwenye mikutano yao na kuwahoji na kuwapa maelekezo kama anavyofanya makonda?
 
Makonda hiyo siyo kazi zake ni basi tu anajilipua kwa sababu hatuna utawala wa sheria kama wenzetu Kenya
Tuna mifumo ya kushughulikia kero za wananchi kama bunge na madiwani ila yote imekufa baada ya uchaguzi wa 2020. Makonda hawezi kuwa anapita kijiji kutatua matatizo. Sio endelevu hiyo
 
Wewe ni mgeni wa siasa za CCM ukikaribia uchaguzi mkuu? Anachokifanya Makonda wamewahi kukifanya Kinana na Nape tena kwa ufanisi zaidi.

Vita baina ya CCM na Serikali ni kama mume na mke, wanajuana na watamalizana wenyewe.
Zaidi ni mchezo tu wamepanga wenyewe kucheza na akili zetu, msiotafakari kwa kina mnaingia kwenye mtego.
Una akili,,hekima,,na Maarifa mnoo Niffah,, Mungu akuweke Sana na aendelee kukujalia afya ya Mifupa Damu na Nyama!!Yale ni ya kupangwa nyuma ya pazia huko,,huku mbele ya kamera ni maigizo kwenda mbele wanatusahulisha mambo ya msingi watu wanabaki fuatilia upuuzi,,na hata maselebreti wanatumiwa sana pia kutuhamisha katika kudeal na mambo ya msingi,, hata matimu ya mpira pia yanatumika sana kutujaza upuuzi haswa Yanga na Simba.
 
Pambano limekuwa moto sasa CCM ikiwa na point nyingi za ushindi wakati Serikali ikiwa na Hali mbaya sana, tuwaamue au tuwaache watoane ngeu? Kazi inayofanya Makonda ilitakiwa ifanywe na wapinzani lakini sasa wapinzani hata hawajui wafanye nini!

Maana adui zetu wameamua kupigana wao kwa wao, nadhani ni kwa sababu wamekosa mpambano halisi kutoka upinzani, sasa makonda anafanya kama haijui kabisa Serikali 'yaani Serikali inaanza kuiogopa CCM! CCM sasa ina meno ya kuweza kuichanachana Serikali. Asante Makonda tutawaamua endapo mmoja atatoka damu.
Ngoja wapasuane tu
 
Back
Top Bottom