CCM huwezi kumualika tu Kiongozi kwenye mahojiano ya TV au Radio, uko Utaratibu wa kiofisi. Chadema bado wako kizamani unapokea Mwaliko hata bar!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni

Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani hawezi Kualikwa Kienyeji enyeji namna hii

CCM hata kumpata Jokate au Lulandala kwenye kipindi chako ni lazima ufuate Utaratibu mahsusi kuanzia pale Idara ya Itikadi na Uenezi

Chadema grow up bhana 😂
 
Chadema grow up bhana
Wewe jikite kwenye uchawa wako kwa nyamitako,haya ya kiumeni tuachie wanaume wenyewe,sawa sawa????
 
Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni

Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani hawezi Kualikwa Kienyeji enyeji namna hii

CCM hata kumpata Jokate au Lulandala kwenye kipindi chako ni lazima ufuate Utaratibu mahsusi kuanzia pale Idara ya Itikadi na Uenezi

Chadema grow up bhana 😂
Hao CCM ndiyo hujinasibu kuwa wapo karibu na wananchi?Kufuata taratibu au huwa wanaogopa kutekwa,kulishwa sumu na kuuwawa?CCM si kwamba wana hadhi unayowatwisha.Kwanza huogopa hata kuulizwa maswali mubashar/live.Usiwafichie ujinga wao kwa sababu dhaifu.
 
Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni

Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani hawezi Kualikwa Kienyeji enyeji namna hii

CCM hata kumpata Jokate au Lulandala kwenye kipindi chako ni lazima ufuate Utaratibu mahsusi kuanzia pale Idara ya Itikadi na Uenezi

Chadema grow up bhana 😂
Hivi unajua chama changu CCM kinaandaa vijana was hovyo sana kwenye taifa letu lijalo!!?

nasaba hii itachekewesha maendeleo!!

jiulize kwanini Dola imetuamini hivi na inaendelea kulinda uozo was makada wetu was ccm wasio waadilifu na hawataki kuhojiwa!!?

ripotiza CAG zinatosha kabisa kuonyesha CCM inalindwa na Dola lakini Haina sifa ya kuongoza Tena taifa!!

hii dhana ya CCM ni kama Mungu was Tanzania inatuletea matatizo makubwa sana kama taifa!!!
 
Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni

Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani hawezi Kualikwa Kienyeji enyeji namna hii

CCM hata kumpata Jokate au Lulandala kwenye kipindi chako ni lazima ufuate Utaratibu mahsusi kuanzia pale Idara ya Itikadi na Uenezi

Chadema grow up bhana 😂

Cdm ni chama Cha watu sio Cha majizi, hivyo hawana ugumu wowote wa kukutana. Huko ccm ni lazima kuwe na protocol hizo, maana lazima magari ya serekali yatumike kwenye msafara wa kumpeleka huyo anayeenda kwenye kipindi. Isitoshe ccm lazima upangiwe cha kuongea maana sio ukweli Bali ni propaganda. Cdm sio tatizo maana unaongea ukweli tu.
 
Na wanaogopa kupewa mialiko feki kutoka kwa maadui wao humohumo CCM inayoweza kuishia kwenye kulishwa sumu,kutekwa,kuteswa na hata kuuwawa.
 
Cdm ni chama Cha watu sio Cha majizi, hivyo hawana ugumu wowote wa kukutana. Huko ccm ni lazima kuwe na protocol hizo, maana lazima magari ya serekali yatumike kwenye msafara wa kumpeleka huyo anayeenda kwenye kipindi. Isitoshe ccm lazima upangiwe cha kuongea maana sio ukweli Bali ni propaganda. Cdm sio tatizo maana unaongea ukweli tu.
Lisu kapigiwa Simu usiku Kwamba kipindi kimeahirishwa

Yeye katimba Wasafi FM asubuhi na makabrasha yake kuwahi kipindi

Unadhani nani ni kituko hapo?
 
Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni

Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani hawezi Kualikwa Kienyeji enyeji namna hii

CCM hata kumpata Jokate au Lulandala kwenye kipindi chako ni lazima ufuate Utaratibu mahsusi kuanzia pale Idara ya Itikadi na Uenezi

Chadema grow up bhana 😂
Unaishi Zama za mawe, ulimwengu wa electronic mail unawaza dispatch book, kweli CCM NI kitovu cha ujinga.
 
Back
Top Bottom