Serikali imesema miradi yote inayotekelezwa na TASAF (Mpango wa kunusuru kaya maskini) huibuliwa na jamii kwa kutumia utaratibu shirikishi unaohusisha na jamii yote na kwamba serikali itaendelea...
Miaka ya karibuni kumekua na wimbi kubwa la kampuni za asia kushinda tender hasa za barabara hii ni habari mbaya sana kwa sababu ubora wa miradi wanayojenga kampuni za asia ni mdogo sana baada ya...
Niite jina lolote, lakini mimi ni mojawapo ya watu ambao huwezi hata kabisa kunishawishi kwamba hii nguvu na mbwembwe ambazo Makonda amekuwa akizionyesha zinatokana na kuwa kwake na cheo cha...
Mwandiplomasia namba 1 wa Tanznaia na Rais wa JMT Samia SH anazidi kujipambanua kama Kiongozi mzito na mashuhuri kwenye nyanja ya Diplomasia Duniani akiiongoza Diplomasia ya Tanzania kwenda...
Mwenezi Makonda ameonesha kukasirishwa sana na kitendo Cha waliokuwa Wafanyakazi wa kiwanda Cha SPM Mgololo Kuzulumiwa Haki zao kwa.miaka 20.
Kilichomkasirisha zaidi ni baada ya kubaini Naibu...
1. Je, Mhe Wakili Msomi, Ng'wasi Damas Kamani, anadhani kuchapisha Noti mpyani sawa na kwenda kutoa kopi "Stationary"?
2. Je, Mhe Kamani anajua Mkwanja mrefu sana unatumika kuchapisha noti mpya...
Wasalaam Tanzania.
Nimekuwa mwingi wa kufuatilia mikutano ya ndugu Paul Makonda mwenezi wa CCM.
Amekuwa akipokelewa na wananchi kwa wingi na mabango mengi yenye malalamiko dhidi ya watumishi wa...
Kuna jambo linatia tafakari kidogo, CCM pamoja na awamu ya sita, kwa kweli wamefanya mengi sana ya kimaendeleo. Ili kuitendea haki CCM na uongozi wa serikali, lazima yasemwe mikutanoni.
Hii ya...
Kuna mambo yanaumiza sana, yanaathiri uchumi na maisha ya Watanzania wengi kutokana na uwajibikaji duni wa viongozi wetu na setikali.bKwa sasa tunarudi nyuma kwa kasi wakati tulishakuwa na...
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa.Bandari ya Dar imezidi kujaa meli zikipanga foleni Ili kusubiria kushusha mzigo.
Huu ni ushindi mkubwa Kwa sera za Rais Samia za kukuza biashara na Kuimarisha...
Mimi ni mtu wa imani, mpenzi wa Biblia na mqmbo chanya kwenye Quran. Kwa upeo wangu hafifu kisiasa nimeangalia malalamiko anayotatua Mh Makonda nimeona anahitaji kuzunguka nchi nzima miaka 60...
Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio...
Pambano limekuwa moto sasa CCM ikiwa na point nyingi za ushindi wakati Serikali ikiwa na Hali mbaya sana, tuwaamue au tuwaache watoane ngeu? Kazi inayofanya Makonda ilitakiwa ifanywe na wapinzani...
Sisi wananchi Watanzania kwa kauli moja tunasema" Tunapenda tuendelee kuishi hivi hivi miaka yote"
Maisha ya sasa tunayoishi bila umeme wa uhakika wala maji ndio maishi bora kwetu.
Huo umeme...
Nawasalimu Kwa Jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa hivi nilivyo nashukuru.
Mimi nimekuwa miongoni mwa watu ambao nimezaliwa nikajikuta nina moyo...
Fikiria usumbufu aliopata Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni kana Kwamba yuko kwenye Chama cha Mfukoni
Lisu ni mtu mkubwa amewahi kuwa Kiongozi wa Bunge kwa nafasi ya Mnadhimu wa Kambi ya...
Naunga mkono wazo hoja ya Gwajima.
Ni ujinga kuiga Kila kitu kutoka Ulaya.Robots zimegunduliwa Ulaya na USA Kwa lengi la kukabiliana na uhaba wa Nguvu kazi.
Sasa hapa Tanzania nilisikia...
Kama ilivyokuwa kwa Tundu Lisu 2020 naye mpinzani mkuu wa Putin huko Russia ameambiwa Fomu yake hajaijaza sawasawa hivyo akajaze Upya.
Trump naye japo Wamarekani wengi wanampenda bado anafanyiwa...
Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhe Eng Ezra John Chiwelesa mapema Leo Feb 08, 2024 akichangia Bungeni amenukuu maneno kutoka katika Biblia Takatifu yanayompa binadamu mamlaka ya kutawala viumbe...
So my question is? Kwann watu wanakusanyika anapokuwa Makonda?
Maana yake,anachokifanya Makonda wangekuwa wameshafanya ma DC, RC, wakurugenzi, mawaziri, manaibu waziri, jero nyingi zingekuwa...